Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mkorea ume ongea kwa uchungu sana, piga soju uchangamke πNimezungukwa na wakopaji au wale wanaopenda kuchukua vitu vya wenzao wakitegemea utawaelewa tu na utawazoea wakati ni tabia ambazo hazizoeleki
πππππ mlongo jamaniiii.
πΉπΉπΉπΉ Kmmk walahi hii nchi ngumu sana..!!Sare umeandaa? Mie navaa kininja. Km wanawake wa Afaghanstan.
ππππππ
Hii nzuri sanaUnajia,sipendi umbea,sipendi kuongea sio muongeaji,ni sipendi hekaheka,,,
Na wote mpk na dada yako mahi πΉUtadinywa na wangapi?
Hii wana ita big red flag, dem wako ana ma best wengi arrgh mbaya iyo.Tokeapo sinaga company ya kike,,,mie ma best zangu ni wanaume, mf humu jf,
Mkuu , hakuna wadada wana msimamo kama wenye marafiki wa kiumeHii wana ita big red flag, dem wako ana ma best wengi arrgh mbaya iyo.
π,Hii nzuri sana
Hichi ni kiburi bwasheeFid Q - Sihitaji marafiki
Hahaha in captain jack Sparrow voiceMkuu , hakuna wadada wana msimamo kama wenye marafiki wa kiume
Ungeijibu salamu yake kwa nyodo kuuUmbea.. usaliti.. uongo.
Mwaka wa 1&2 tukawa vzuri. Mwaka wa 3 akaniulizaga kitu kuhusu staff flani, nyoko mm nikajimaliza kila nachojua!! Yule binti kumbe alikuwa na interest na yule kijana me hakuwa ameniambia,, akavipeleka kwa yule staff kama vilivyo na akaongeza chumvi.
Yule staff akanipigia simu usiku.. akanisuuza na nikapingaaa vizuri sana akachoka akakata simu.
Kesho asbh yule binti hata salamu yake nilishindwa kuitikia. Nilichukia ile enyewe kwanini amenisaliti ππ
Wanawake ni watu wabaya nambari oneee
Una urafiki nae, na yeye ana marafiki zake ambao sio rafiki zako. Hapo kuuziana taarifa nje nje. Better being alone, wabaki mnafahamiana kikawaida..
Weeeh, ubaya wake nini?? Sina marafiki bali Nina company.Hii wana ita big red flag, dem wako ana ma best wengi arrgh mbaya iyo.
Joanna naomba tuwe marafikiKanijibu ety ni hivyo hivyo
Sure bro , kipindi cha nyuma nilikua na rafiki yangu wa kike chuo , ni pisi moja inayojielewa mno, kupitia yeye totoz kali kali kwangu ilikua chapuu tu bwashee πHahaha in captain jack Sparrow voice
Hahaha in davy jones voiceSure bro , kipindi cha nyuma nilikua na rafiki yangu wa kike chuo , ni pisi moja inayojielewa mno, kupitia yeye totoz kali kali kwangu ilikua chapuu tu bwashee π
ππππππ wee vaa kijora na mtandio wake km shungi.πΉπΉπΉπΉ Kmmk walahi hii nchi ngumu sana..!!
Nitafutie na mimi nikabu niutinge uduguu π€£