Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Huo sio urafiki
Tafuta type Yako bhna, Kuna urafiki unafikia mpaka undugu, issue ni kuendana tu, same status, same age, same class, same type, same goals, yaani Kila kitu ni same same tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani sipendi unasema kitu na mtu halafu baadae unakikuta mtaa wa pili😁,,aisee sipendi me, he
Unajua nn inategemea na huyo mtu, mie ni mbea, mkuda, mdaku, na mpashkuna, ila kamwee sijawahi sutwa, kwann nacheza na mipakaa.
Rafiki angu tukikaa, tutasogoa had bas, ila tumeweka mipaka no kutoka nje yetu..

Raha ya umbea muwe mnaujua codes zake.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie umbea nna mtu wangu wa kufanya nae. Sikurupukii.
Yaan natembeaa kwenye chakii tyuuh.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie umbea nna mtu wangu wa kufanya nae. Sikurupukii.
Yaan natembeaa kwenye chakii tyuuh.
Yeah,umbea nafanya na madogo zangu maana tunaendana sote,
 
Brains...
I hate socializing with folks without brains, mtu anakuwa yupo yupo tu kama akili imepigwa kimbola...

Wabongo wengi uwezo wa kureason ni average, kama ukicount watu naowasiliana nao as friends maybe wapo 2 au 3 max...
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…