Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

Mkuu mbona unatuchoma Mkuki moyoni😅😅😅
 

Mwanaume Kamili na Halisi haogopi Talaka na Wala haogopi kuachana na mwanamke

Huyo Dr. mwaka uliambiwa alikuwa anaogopa kuachana na Mkewe?

Wanaopigwa KO ni wanaume ving'ang'anizi wasiotaka kumuacha mwanamke asiye na Adabu
 
. Unapigana na watu na kuzuia watu wasiongee naye huko mabarabarani.
Unaogopa kuachwa.

Unawivu wa kijinga. Unagombana na watu Kisa mwanamke. Unamchunga mtu uliyemuambia akikucheat ataondoka hivi uko Sawa kichwani?
Mwanaume Kamili hayupo hivyo.
Hawa ndio wale kamfumania mke wake lakini anagombana na Mwanaume aliyemfuma naye. Hawa ni Wanaume wa hovyo wanatakiwa wafutwe kwenye kizazi cha binadamu.

Mke wako anatoka nje ya ndoa lakini wewe unaenda kumaliza hasira kwa mshikaji eti unamchoma visu au kumwendea na KY jel? Una akili kweli?

Na bahati nzuri ukiondoka Mwanamke wako anamtafuta msela tena kumpa pole kwa yaliyotokea na anaahidi haitajirudia tena watafanya kwa siri kubwa😅😅😅
 
Wengine tuna watoto tunawapenda hatutaki kuleta vizazi vya panya road

Kuishi na Mwanamke anayekudharau ni rahisi kuzalisha Panya road zaidi.

Fuatilia watu wengi wenye kuleta matatizo hapa Duniani au hapo mtaani kwako utagundua kuwa Baba Zao wengi wao ni dhaifu na mama ndio wenye Sauti ndani ya familia
 
Mmejidharau wenyewe. Dadeki!

Ila mnafaida kwa upande mwingine kama kulea watoto wasio wenu. Kuhudumia wanawake wasioheshimu n.k.
Bora hivyo kuliko kuzaa Pantyaroad.

Mwanaume mvivu hela hutaki kutafuta Mama watoto akikuuliza unalipuka kama petrol unajidai ndio umwamba😅😅😅
 
Watibeli wakishazaa na mwanamke Huwa hatuachi Hadi aombe talaka na akiiomba anapewa faster!hatuachi tunaoa Tena hasta kama sio rasmi tunaoa!!!

Kwenye kuiomba hatuombi tunataka ushirikiano ukiwa zero tunapandisha cheo!!

Hivyo tu!
 
Kwa hiyo Neno uvumilivu halina maana!
 
Watibeli wakishazaa na mwanamke Huwa hatuachi Hadi aombe talaka na akiiomba anapewa faster!hatuachi tunaoa Tena hasta kama sio rasmi tunaoa!!!

Kwenye kuiomba hatuombi tunataka ushirikiano ukiwa zero tunapandisha cheo!!

Hivyo tu!

Iko hivyo.
Na mtu akiomba Talaka mwenyewe au kwa hiyari yake au uzembe au kiburi chake akiomba Talaka tunatoa bila mjadala. Huo Muda WA kuuliza maswali hatunaga.

Na kamwe haturudiii matapishi
 
Iko hivyo.
Na mtu akiomba Talaka mwenyewe au kwa hiyari yake au uzembe au kiburi chake akiomba Talaka tunatoa bila mjadala. Huo Muda WA kuuliza maswali hatunaga.

Na kamwe haturudiii matapishi
Nyie ndio mnazaa hovyo mtaani na kutelekeza watoto, Mmekengeuka Watibeli gani nyie wa hovyo
 
Hata siku moja usikubali kuishi na mwanamke mpumbavu kisa watoto!

Watoto hawawezi kuwa wa mhimu kuzidi WEWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…