Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

ukiwa busy na simu unaweza kuambiwa unachati na wanawake zako au malaya zako
Hapo sasa kama unajiamini uko vizuri unampa simu aangalie ulichokuwa unafanya kwenye simu! Ila sasa vijana wangu mlivyo na mambo mengi hapo huwezi maana utakuwa umekabidhi Bucha kwa fisi! Hata kwangu huwa kuna wakati haya yanajitokeza hapo hapo nampa simu angalie mwenyewe! Sasa hivi kanizoea hata na-chat haulizi tena maana nilishamkata kilimilimi!
 
๐Ÿ˜ƒAmeamua kutokukuchosha tu
 
Watu wengi hawana elimu za mambo ya emotional intelligence ufahamu wa kudhibiti hisia.
Mfano mtu anayabeba ya ofisini anayaleta nyumbani kwake kuwaathiri wasiohusika ili kuvunja amani za wengine.
Unakuta watoto,madada wa kazi, mifugo nk ndio wahanga
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Such is life,
 
sanaaaa,, unaipga mnaoga unaipga tena mnaoga mnasema imetosha ile kuingi kwa bed ghafla unagusagusa ikweta mzigo umesimama napga tena๐Ÿ˜ƒ,, hapo lazima nikasinzie job kesho yake,,,
Umenikumbusha mbali sana.
Kipindi kile cha ujana na wala huchoki kabisa.
Sasa hivi kupiga viwili tu ni shughuli pevu.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Ishi nae kwa 'akili' huyo mkeo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ