Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Daaaah huku nilipo inabidi niondoke aiseee maisha hayako fair kabisa
MD wa Coca Cola anavuta hadi 50M hukoMzee mimi mwanzo nilikuwa napewa hizi info ila nilikuwa siamini lakini baada ya kuingia kwenye hizi kazi za International Organizations nimeamini kweli kuna watu wanavuta mpunga kiongozi.
Acha kabisa mkuu...!
Yaan pesa zipo bhana, further tyuu kuipata.
Ushawahi kuona salary slip yake mkuu?MD wa Coca Cola anavuta hadi 50M huko
Ni ofisi ya umma au binafsi?
Mungu wako unaemuamini akutangulie mkuuKwa kweli darling tuzidi kukaza na kila kitu kitakuwa sawa dear...!
Hapa napambana kujaza application ya UN nione itakuwaje bado almost page 1 au 2 tu nimalize my dear, please pray for me mammy...!
β€οΈ
MD wa Coca Cola anavuta hadi 50M huko
Mungu wako unaemuamini akutangulie mkuu
Duh.wako vizuriSio ya umma kiongozi ni International Firm mkuu...!
Watu wanachanganya tyuiih, kna mtu nlimuuliza jana yeye yuko ktk bank, alinambia kwa wanaoanza hapo TRA n 1.6m.TRAS 4 ni kiasi gani naomba kufahamishwa?
TRAS 4 ni kiasi gani naomba kufahamishwa?
Usijar nakuombea sana baddy, lazima ufanikiwe tyuuu. [emoji3059][emoji3059][emoji3059]Kwa kweli darling tuzidi kukaza na kila kitu kitakuwa sawa dear...!
Hapa napambana kujaza application ya UN nione itakuwaje bado almost page 1 au 2 tu nimalize my dear, please pray for me mammy...!
[emoji3590]
Nilisikia n 35mMD wa Coca Cola anavuta hadi 50M huko
Duh.wako vizuri
Usijar nakuombea sana baddy, lazima ufanikiwe tyuuu. [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Duh.wako vizuri
Ameeeeeeen!!!! [emoji171][emoji171]Thank you soooo much dear...! Amen.
[emoji8][emoji8][emoji8]
Shukrani kwa taarifa mkuuWatu wanachanganya tyuiih, kna mtu nlimuuliza jana yeye yuko ktk bank, alinambia kwa wanaoanza hapo TRA n 1.6m.
Sasa humu ndo wanasema vingne, ko hata sielew .
Napenda shirika la kimataifa opportunity ya kubula mipaka n simple tyuuu, yaan ukiwa mjanja unasepa Bongo mazima.Ila sijajua hawa jamaa wa UN wakikuita kwenye interview halafu ukaishia practical au oral sijui wanaku-refund gharama zako za usafiri na hotel itabidi nipate mtu nijue kuhusu hilo coz position ipo Kibondo huko na mimi nipo Chuggah aisee.
Napenda shirika la kimataifa opportunity ya kubula mipaka n simple tyuuu, yaan ukiwa mjanja unasepa Bongo mazima.