Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Ila sijajua hawa jamaa wa UN wakikuita kwenye interview halafu ukaishia practical au oral sijui wanaku-refund gharama zako za usafiri na hotel itabidi nipate mtu nijue kuhusu hilo coz position ipo Kibondo huko na mimi nipo Chuggah aisee.
Huenda wanarudisha.maana watu kama 🇺🇸 embassy wanarudisha,iweje hao wasirudishe mkuu?
 
Ulisikia wapi mkuu?
Kwani chuo ulishamaliza?
Nna kuna mtu namfahamu yuko kitengo fulan ndo aliwahi nambia kuwa MD wa coca anakula 35m, tena hapo niliuliza nipate uhakika maan nilibishan na mwenzang yee akanambia anakula 30m sasa sikuamini, maan niliona ni nyingi mnoo.

Ndo nkaambiwa n 35m wee nilipagawa zaidi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
vijana mnashindwa kuelewa hao walibugi step ya kuajiri ewura hairuhusiwi kuajiri parmanent yenyewe kama yenyewe mnajisumbua bure ajira zinatakiwa zitangazwe psrs hichi ndio chombo kinachoajiri wafanyakazi wa serikali


ewura naona walivyoona wamebugi wakaa kimyaaa kama sio wao
note ajira zote za taasisi,agency,mamlaka kasoro vyombo vya ulinzi na usalama ajira zote ni psrs(public service recruitment secretariat)

narudia ilo tangazo lilikua linadirect mtu apply ewura moja kwa moja kitu ambacho hakiwezekan sijui mnaalewa ajira za ewura zinatakiwa kutangazwa na utumishi vijana eleweni
 
Na tayari Sekretariet ya ajira imetangaza ajira zaidi ya 700 kufikisha idadi ya ajira 2100..

Bado kuna maswali Kuhusu ufanisi wa Mama kuupiga mwingi?
 
Vumilieni next week kuna zingine zaidi ya 30,000 zinakuja hasa walimu,madaktari na manesi..

Za kada zingine zitakuwa kiasi.Hata hivyo wale waliosomea Mambo ya kilimo na mifugo kuna ajira za mkataba wizara imemwaga ziko kama zote ingia page yao muombe.
 
Mbona BOT wanaajiri wao kama wao na wao inakuaje mtumishi wa BOT apiti utimishi wa Umma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…