Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Sasa TRA unalipwa 2.3 M Haina Posho ya Nyumba, Haina Posho ya utilities, Haina Posho ya ujuzi,Haina Posho ya katikati ya mwezi hence 2.3 m sio nyingi kivile

Asiyejua kushukuru kwa kilicho haba hawezi kushukuru kwa kikubwa Mkuu. Mafanikio hayapo defined kwa ukubwa wa mshahara usikute mtu mwenye kulipwa laki 5 kwa mwezi ana mafanikio makubwa kuliko Boss wake.
 
Wee pesa nyingi jaman, kwa kweli.
 
Sio nyingi Sana kivile, Kuna kitengo cha serikali watu wanakula salary 1.5 M, Posho 750k, Posho 450 k, housing 600k, umeme/maji 400k

Unachosema ni sahihi kabisa mkuu. Kuna vitengo wanakunja hela ndefu sana katika hizi hizi Government Institutions au Authorities, achimbilia mbali huko kwenye Embassies, International Organizations na U.N ndio hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…