Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Utafanikiwa tyuuuuh
 
Mkuu yangu Iko [emoji817]% kabisa.. labda hyo CV ndo sijaweka officially,, but picha ipo na zagazaga kibao.. tena nataka nikacertify vyeti vyangu colored kabisa kama attendants wanashida ya macho basi iwarahisishie kuona[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walimu kweli wanaonewa Mwenye elimu ya shahada analipwaga kiivyo 2.3 M TRA ? Hivi mwenye Diploma analipwa ngapi? Unaweza kuta mshahara wa Dip sawa namwalimu mwenye Master yake anaefundisha Sekondari.
Tena bado hamfikii kabisaa. Dunia haiko fair [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…