cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Utafanikiwa tyuuuuhHabari
Napenda kuwapa hongera ndugu zangu mliobahatika kupata ajira TRA tumepambana wote toka written mpaka oral lakini kwa uhaba wa nafasi wachache waliofanya vizuri waka bahatika kupata nafasi hizo... nawatakia utumishi mwema ndugu zangu hope na mimi siku moja nitafanikiwa.