Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anadhani tcra ni Kama HalmashauriMkuu inawezekana kabisa
Takukuru interview yao ya Kimagumashi kabisa, afadhali kidogo UtumishiNawapa pongez vijana wote walioitwa kazini katika taasisi mbali mbali za serikali ikiwamo TRA na Takukuru!
Ni takriban vijana 1900 wameondoka mtaani rasmi !
...Mkatimize wajibu na mtende haki!
View attachment 2181824
Asante Mungu nimebahatika,, nilikua sina imani na utumishi,, sasa nimeamini kweli inawezekanaDuuuh wameulaa aseeeeh, mil 2.3
Maisha muruaaaaaah.
Ashura mm tangu zaman nakupenda ujueAsante Mungu nimebahatika,, nilikua sina imani na utumishi,, sasa nimeamini kweli inawezekana
Duuuh, basi wengi wamechelewa kujua hilo maana wanakomaa na tra tu kumbe kuna asali kwingineko.4.5M kwa anayeanza.
Madam hukuwepo kwenye kinyang'anyiro. Mwenzangu..?Hongereni sana wote mliotusua. Haikua rahisi kwa kweli
Wala sikuepo... alafu mie nipo kazini tayariMadam hukuwepo kwenye kinyang'anyiro. Mwenzangu..?
Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila kutoa pdf?
======
#HABARINJEMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia Suluhu Hassan kuajiri vijana 1,000 zaidi ya idadi ya awali.
TRA ilipewa kibali cha kuajiri vijana 1,100 hata hivyo Rais Samia aliongeza idadi ili kuotoa msukumo mpya wa ukusanyaji mapato.
Kaimu Katibu Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Samwel Tanguye ameiambia Daily News Digital kuwa idadi ya watumishi wengine wa TRA wataajiriwa hivi karibuni. TRA sasa inafikisha idadi ya watumishi 5000.
Alisema katika ajira za TRA vijana takribani 66,000 walituma maombi na baada ya kuchujwa kulingana na vigezo vijana 13,800 waliitwa kwenye usaili na 8,586 ndio waliofika kwenye usaili uliofanyika Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar.
Imeandaliwa na Idd Mwema
Haya bana
Utumishi mwema comrade[emoji4]Haya bana
Hongera sana mzee..
Sio mm ni huyo mams wangu ASHURAY ABDALLAHHongera sana mzee..
Mungu ametenda aisee..
Nilijua na wewe utaenda dom kuchukua barua yako mzee[emoji3]..
Acha kuwafundisha wenzako ujambazi yaani TRA na bandari kwa wezi tu wapo vizuriPosho zipo jomba uliza wanaofanya Kazi humo na vitrip vya uwizi wizi vya kutosha
Hebu nitafute inbox nikushauri kitu cha msaada sana [emoji1787][emoji1787] maana sio kwa furaha hzo.Asante Mungu nimebahatika,, nilikua sina imani na utumishi,, sasa nimeamini kweli inawezekana