Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Mimi niko gizani sijaelewa. Mbona sasa bado tunapata huu mtandao? Kilichofanyika ni nini?
 
Kuifungia Jamii Forums, A Tanzanian based social platform siyo kitu kizuri, ni mwendelezo wa Alarm mbaya kwa Tech Investors nchini, Mfano kwa majirani hapo Kenya

Microsoft - KENYA
Google - KENYA
Visa - KENYA
Amazon AWS - KENYA
IBM-iHUB - KENYA

Tunayo kazi kubwa ya kufanya

Credit TOT TECHS
 
Yule sheikh wa dar alisema iogopwe serikali,na aogopwe mwanamke!
Sasa tuna serikali inayoongozwa na mwanamke!
Naamini tunajifunza kwa gharama aina ya kiongozi tunaepaswa kumdhamini madaraka.
Hata tcra najua inawauma kwa ndani ila hamna namna isipokuwa kuungojea wakati, wakati si wa milele, kesho haipo mbali.
 
Watu wanatetea ugali wao kwa shari na kwa amani...

 
Kwani hayo yote ni ya uongo?? Lingine kwani picha zile alizopiga kivile, JF ndiyo wamefanya kazi hiyo?? Si kafanya mwenyewe na kuvujishwa mle mle Magogoni. Chanzo cha uovu wote ule ni hapo hapo Ikulu kwa Wasaidizi wake wasiokubaliana na matendo yake.
 
Nikiwaambia kuwa ma'simp ni tatizo la kijamii ndio kama hivi.

Yule maza amekaa kimya na si ajabu hata habari zenyewe hajasoma wala kufuatilia ila Ma'simp sasa wanavyojipendekeza waonekane ni wanaume wa shoka.

Kemea u'simp serikalini na kwenye jamii kwa ujumla.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…