Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Unaishi kwa mikopo na misaada halafu unajitutumua hatuishi bila misaada..!!gentleman relax bana ukweli ndivyo ulivyo..
huna haja kuporomosha matusi kwasabb hiyo ni useless kwenye hoja muhimu sana kama ilivyowekwa mezani..
au umefikia ukomo wa fikra mpya umebaki na mihemko na matusi tu 🤣
Ikulu, ma v8 yale na masalary makubwa mixer bonus za michongo mingi weee patamu hapo hawawezi kukubali kiurahisi. Uroho usha waingiaAnachofanya Rais wetu ni kama mtu mpenda urembo lakini hajui matumizi ya kioo. Kioo kina kupa tashwira halisi ya ulivyo na urekebishe wapi. Sasa ukiona kasoro zako katika kioo badala ya kurekebisha unakivunja eti kinakukosea huo sasa uitweje?l
Ndivyo wavionavyo vyama vya upinzani, badala ya kuvitumia kama kioo kuona uchafu wao wanaona ni maadui zao
Ubalozi waliipata live siku ile ileIngawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka.
View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
Nani anaepima kwamba hii ni right au sio right? Ni Beberu USA?Issue sio kupangiana issue is to do the right thing..., ila kwa busara zetu fupi badala ya kutatua tatizo, tatizo limeongezwa bila sababu yoyote..., LAKINI, thinking again huenda hii ni prelude..., sababu ipo na huenda ikawa ni ile tune ya kuwalaumu so called mabeberu kwa lolote litakalotokea..., Ndio maana binafsi I hate Politizing issues (mara nyingi is to hide incompetence)
Mauaji mashuleni, sokoni marekani kila siku,waliambiwa na nani wachunguze?Umeambiwa Chunguza kwa nini kuna kadhia badala yake unashambulia wanaokushauri uchunguze?
Hii bado sijaielewa vizuri imekaaje
Aisee
Wewe kwa macho yako unachoona kinachoendelea na kuendelea kuendelea bila taasisi husika kuzimaliza ni right ? Hatuna muda wa kupambana na mabeberu wakati kuna vingi vya kufanya ambavyo havijafanywaNani anaepima kwamba hii ni right au sio right? Ni Beberu USA?
USA imewatesa raia zake kuhusu PalestinaKwa hiyo na wewe kajamba nani unataka ujilinganishe na USA?Una wazimu sugu wewe.
😍Acha kua na fikra za kitumwa wewe,hakuna nchi ambayo hua inataka kuingiliwa kwenye internal affairs zake.
Hao US si ndio wanatoa silaha zinazoua Wanawake na watoto huko Gaza? kwanini wasijirekebishe wao kwanza?
Sjaongea kwa ushabiki wa kisiasa coz mimi hua sibishani mambo ya kisiasa hapa bali nimeongelea uhalisia.
Kwani mtu ombaomba ndio adhalilishwe utu wake na kushikiwa akili yake?😲Aliongea kwa kupanic sana huyo mama, anawavimbia wakati kila leo anapita na bakuli lake kuomba omba huko kwao
Hili jamaa Tlaatlaah hovyo kabisa.
BBC Tayari...nikama EU inapiga jaramba na Nyundo kubwaNgoja akina BBC, DW, CNN, FOX news, VOA wafanye yao
JPM pia viatu vilikuwa vikubwa kwake ?!!Eanamdanganya......ili aaibike ....filatu fikubwa sanaaa kwakeeee
Kaogopa fedheha watu wamejioanga kuandamana kwenye u balozi wa TanzaniaHivi wiki ijayo haendi New York?
Hatujali.....BBC Tayari...nikama EU inapiga jaramba na Nyundo kubwa
Kaogopa fedheha watu wamejioanga kuandamana kwenye u balozi wa Tanzania
Nenda kaangalie exchange rate shilingi inavyopulia oxygen ndo utajuwa hujuwi...Hatujali.....
Trump kakoswa kuuawa mara mbili....ila serikali ya Biden bado iko mamlakani.....