pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Kwani wewe umemuelewa The Icebreaker? Au ndio mkibanwa na hoja mnahamisha magoli?Umeelewa swali la Nyani Ngabu?
ni sawa zifike tu,ili waelewe ujinga waoIngawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka.
View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
Powerful my foot!! Kesho mnapita na vibakuli mkiwaomba misaadaYes,
ile Ilikua ni hotuba kwa dunia nzima.
It was very powerful speech by head of state to the international community and entire world π
Powerful my foot!! Kesho mnapita na vibakuli mkiwaomba misaada
Huyu mjaheedina wa zenj,aangslie wanachofanyiwa Hezbollah, atatulizwa muda si mrefu, TZ na samia, anasifa mbaya nje ya mipaka, hakuna jema, kabisa, ajifunze Kenya inavyon'gaa huko nje kwenye Olympic na "vibrant democracy, huku kwetu tuna sifa mbaya kama vibaka wa kawe, au machangu wa kinondoni,Ingawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka.
View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
Chura kiziwi wamjuwa weye?Ingawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka.
View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
Kwa kuwa tu ni Muislam?Huyu mjaheedina wa zenj,aangslie wanachofanyiwa Hezbollah, atatulizwa muda si mrefu, TZ na samia, anasifa mbaya nje ya mipaka, hakuna jema, kabisa, ajifunze Kenya inavyon'gaa huko nje kwenye Olympic na "vibrant democracy, huku kwetu tuna sifa mbaya kama vibaka wa kawe, au machangu wa kinondoni,
Kwenye macho ya nchi za ulaya, ni TZ ni ka nchi ka hovyo, kenye "low mind" Viongozi wenye akili ndogo Sana, vichwa panzi
Wewe si ulisema hatuishi kwa misaada halafu hapa unaanza kuleta ufafanuzi uchwara.!!!make sure unarejesha marejesho ya mikopo yako kikoba kwa wakati kuepuka faini na hayo ndiyo maisha..
sisi tunakwenda sana duniani kote kama Taifa, kutafuta fursa za elimu na biashara kwa waTanzania, kama ambavyo mataifa ya dunia nzima wanavyofanya na wengine wanakuja kwa kumiminika nchini kutafuta fursa na hata wakitaka mikopo tutawakopesha vile vile kulingana na mahitaji yao na uwezo wetu...
hayo mengine sijui mwendokasi na mengineyo,
ni mambo ya kawaida mradi unaendelealea kutoa huduma vizuri licha ya dosari na kasoro ndogo ndogo ambazo zinashughulikiwa na mamlaka husika usiku na mchana π
Gentleman,Wewe si ulisema hatuishi kwa misaada halafu hapa unaanza kuleta ufafanuzi uchwara.!!!
Nani aje akope Tz nchi ya makapuku na wajinga kama wewe, Sana sana watakuja kuchota rasilimali zenu mkiwa mnashirikiana nao kuwapa kwa kigezo cha uwekezaji.
Rais awe mwanamke ama mwanaume nguvu yake ni "presidential decree"...Fedheha kwa mwanamke na mwanamme ni tofauti
Kama hamuhitaji kumpigia mtu magoti, Safari za kila mara za kiongozi wenu kwenda nje ya nchi nini?Gentleman,
misaada ya yeyote si lolote si chochote Tanzania ..
kama Taifa,
tunajiendesha kwa kujitegemea kulingana na kiwango ambacho hatuhitaji kumpigia mtu au nchi magoti ili tupige hatua kimaendeleo,
wala hakuhitaji malumbano wala mbambamba ya mtu yeyote kwenye hili...
wenye mawazo na fikra potofu za kimaskini ambazo mara nyingi huambatana na ushirikina, tutaendelea kuwaelimisha kidogo kidogo na hatimae tuwe na uelewa na uelekeo moja π
kama wao wanakuja na hatuwazuii kuja kwetu basi hayupo wa kutuzuia kwenda kwao pia gentleman πKama hamuhitaji kumpigia mtu magoti, Safari za kila mara za kiongozi wenu kwenda nje ya nchi nini?
Kama sio uganga njaa?
Ameota mapembe
Unafikiri wao wakija huku wanakuja kulia lia njaa kama nyie mnavyo kwenda kwao kulia njaa kutaka mikopo na misaada?kama wao wanakuja na hatuwazuii kuja kwetu basi hayupo wa kutuzuia kwenda kwao pia gentleman π
Sasa kama hakuna haja ya kwenda kwao, kiongozi wako anachozunguka zunguka kila mara ni nini?hakuna muujiza kwenye hili. wasipokuja kwetu, nasi hatuna haja hata kidogo kwenda kwao na wala si Lazima lakini pia si muhimu π
huenda una njaa sana ndio maana iko tabu kidogo kwenye ufahamu na uelewa kwenye jambo hili muhimu kwa maslahi mapana ya Taifa πUnafikiri wao wakija huku wanakuja kulia lia njaa kama nyie mnavyo kwenda kwao kulia njaa kutaka mikopo na misaada?
Sasa kama hakuna haja ya kwenda kwao, kiongozi wako anachozunguka zunguka kila mara ni nini?
Kama vile hajui kuwa hawa jamaa wana intelijensia kubwa (in real time) ya mambo yetu ya ndani.Watekaji wangekuwa wanakamatwa sidhani kama wangemwambia afanye uchunguzi kukomesha haya matukio.
Watu wanatekwa, wengine wanauwawa na hakuna kesi hata moja iliyoshughulikiwa. Wanakuambia fanya uchunguzi wewe unawaona wabaya.
Alafu wa kwanza kutembeza kpNi rahisi sana kuwazodoa watu na kuwaambia waache kukufuatilia, hata kama wanachosema ni cha kweli.