Kiufupi kama Heche ana jinai afunguliwe,na hawa wa mabilioni ya pesa waseme wanapataje hizo hela,daah aisee.
 
Kulikuwa na shutuma tofauti tofauti, ya kwanza ya Heche anatumia/anakula pesa za tonetone ndipo mnyika akalitolea ufafanizi, kwanini mnyika? Jibu unalo.
Kwa kusema kuwa Heche hana access na akaunti za Chadema? Kuwa Mnyika ndio accounting officer wa Chadema na sio Heche?
Hizi zilikuwa ni tuhuma namba 2, Pesa ni za Heche, account ni ya Heche, Wewe, katuga na wengine hamjawahi kuthibitisha kuwa pesa hizo zimetokana na ufisadi, mmeibua hoja za kuwapa watu uwanja wa kumshambulia Heche.
Pesa kuweko kwenye akaunti ya Heche si uthibitisho kuwa ni za kwake. Na nimesema hapo awali si uthibitisho kuwa ni pesa haramu. Kwa spirit hiyo hiyo, pesa kuweko kwenye akaunti ya mtumishi wa umma au mfanyabiashara si uthibitisho kuwa wao ni mafisadi. Hauwezi kumtetea Heche kuwa hizo pesa ni za kwake halafu ukamgeukia Kizigha kuwa ni fisadi kwa sababu ana mabilioni kwenye akaunti yake. Ndio maana mimi sijawahi kumuita Heche fisadi lakini sishangai wapinzani wake wanapo hoji ipatikanaji wa hayo mapesa.

Hivyo hivyo wafuasi wa Chadema wakigundua kuwa kuna mtumishi wa umma ana mamilioni kwenye akaunti yake au ana miliki majumba ya kifahari watahoji amepataje utajiri huo.

Chadema wanapaswa kujua hilo na kuja na majibu yanayo jitosheleza.
Serikali ina mikono ya kila aina kuweza kuthibitisha Heche amefanya ufisadi/ameingiziwa fedha haramu…!
Sio lazima kuthibitisha. Rumors zinatosha sana kumharibia mtu. Wafuasi wengi wa Chadema wanaamini kuwa Mbowe amelamba asali bila uthibitisho wowote.

Hivyo ndivyo ilivyo kwa Heche. Kama lengo ni kumchafua Heche, hawahitaji uthibitisho. Kama vile watu walivyonong'ona kuwa Mbowe alilambishwa asali alipoenda Ikulu, au Lissu aliposema kuwa biashara za Mbowe hazieleweki n.k.

Ukweli kwa sasa ndivyo siasa zetu zilivyo. Ni kuchafuana tu. Wanajua watanzania ni gullible na ni wepesi kuamini lolote.

Amandla...
 
Ahahahahaha! Lissu anasubiri kunyongwa hadi kufa na hakuna mbwa yoyote itakayofanya chochote hadi ananyongwa hadi kufa halafu eti tumeshikwa pabaya? Ahahahahaha!!
Leo Lissu akinyongwa kesho Samia anakufa wewe binafsi utapata faida gani.
 
Katuga Account yake ina pesa nyingi kupita maelezo, Account zake z ichunguzwe
 
Kwa hali hii bila wananchi kuamka na kupigania nchi yao, Aisee tukubali kuuwawa ama kusifia ili tuishi na waheshimiwa waendelee kula fedha
Katuga ana pesa nyingi pengine kumzidi hata huyo wambura
 
Account za Wakili muongo Katuga zichunguzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…