Watu wana hack mpaka ikulu ya Trump hadi computer systems za Pentagon sembuse CRDB ya bongo.
 
Ungeweka ushahidi kwamba huyo mwenye kidogo ni mwizi ingeleta maana.Unaweka shutuma tu bila hata ushahidi kuthibitisha!?
 
Kaingiziwa milioni 10 na milioni 20 na Salmin kwenye akaunti yake chawa wa CCM wanataka TAKUKURU ichunguze.
Asante sana. Ss tugawanye kwa bil 24 tunapata ngapi vile.

Unajua waandishi wa zamani walisema vizuri sana, kuna ufisadi ulitokeaga lile gazeti ilieleza kwa urahisi sana ule ufisadi.

Ilisema ukizipanga hizo pesa toka Dar zinafika songea au mbeya.
Watu walidata sana aiseee.
 
Ndio maana Mange kawapa warning wasitingishe meza wata regret nyaraka zao zitatoka ikulu.
 
Heche hakuna pesa yoyote ameiba, akaunti zote za CHADEMA zimefungiwa kwa zaidi ya mwaka sasa, Tone tone ni michango ya huruma ya wananchi na hata sasa hivi wakiombwa wako tayari kumchangia, Hakuna mahali ambapo Heche ameiba cha mtu, Mimi na UCCM Wangu nachangiaga CHADEMA kwa kuwa wanawakilisha ajenda za wanyonge, na hata sasa wakitangaza mchango nikiwa nazo nitampa Heche, akale tu basi.
 
Basi wachunguzwe viongozi wa serikali kwanza Kisha twende kwenye vyama au vipi mjenga hoja za kisomo?
 
Ufisadi ni ufisadi tu, Wizi ni wizi tu na Rushwa ni rushwa tu. Hakuna fisadi mkubwa wala mdogo, Hakuna mwizi mkubwa wala mdogo, vile vile hakuna mla rushwa mkubwa wala mdogo. Kama ni ufisadi wote waitwe mafisadi, kama ni wezi wote waitwe wezi na kama ni wala rushwa wote waitwe wala rushwa.

Kipimo kile kile kinachotumika kuwapima wanachama wa CCM, ndiyo pia kitumike kumpima na Heche. Kama kweli tunapinga ufisadi hatupaswi kuwa na double standards. Bwana Yesu alitufundisha "Kwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa" Mathayo 7:2
 
Aweke hapa na statement ya Prof. Anna Tibaijuka
 
Mange ana hoja, lakini hizi nyaraka zake zina walakini.

Statement imeonesha kabisa kuwa ile 1b ni loan disbursement , ila kwa jinsi ilivyo chanwa chanwa.. inaonekana kuwa ni ya mchongo..
 

Attachments

  • Screenshot_20260921_080122.jpg
    51.2 KB · Views: 8
Tofautisha matumizi ya mali ya umma na mali binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…