Makonda ni Mchagga,Mabeo ni mchagga,Mnyeti ni Mchagga...yaani wanapeana vyeo tuWachaga Mungu kesha wapa majibu Mitandao yenu mliyojenga miaka ya kuonea makabila mengine kwenye ajira,tenda,vyeo na fursa Mungu kamtumia Magufuli kuwapa majibu yenu.Uovu wenu umepatiwa majawabu
Sisi niwatanzania, tunapambana kutokomeza ukabila sio u Tanzania.Ule umoja wa watanzania pale Washington na London nao ufutwe tu kama vipi..
Ni vyema pia tukafuta umoja wa wayemeni, waingereza, warusi nk na Balozi zote zisiwepo maana uwepo wa mabalozi ndio chanzo cha uwepo wa hivyo vikundi..
Sasa apo kua na Umoja wa kabila lenu kuna hasara gani mkuu?Hii ni point ya Muhimu sana. Mimi nlikataa UDSM kujiunga na Umoja kama huo.walinishangaa. nikaenda mkoa flani nikaukuta jamaa mmoja kazini alipogundua mimi ni kabila hilo akanipeleka siku moja kwenye meeting kama surprise akanambia "huku ndo ndugu zako tunakutana" toka siku ile hakuniona tena kwenye meeting.
Mimi nalipenda Kabila langu na nalitaja popote napoulizwa.ila sibagui au sipendi ukabila.mama yangu ni kabila lingine na baba yangu. Nmeoa kabila lingine.sijawahi msaidia mtu sababu ya kabila au dini yake.mimi NI MBINADAMU Kwanza na halafu NAPENDA UBINADAMU.
Daah kweli...Jf ebu badirishe ili neno Great Thinker...Hivi matabaka na makundi yanaondoka kwa kufuta Umoja wa Makabila au Kabila?Hii itasaidia kuondoa makundi kwenye jamii
Yawezekana kweli lakini ni mmoja Kati ya miaMkuu umoja huu una msaada sana sitasahau kipindi flani nilipata matatizo nikiwa mkoa flani nikaja kusaidiwa na Umoja Wa watu wanaoishi ule mkoa....tuchukulie vitu positively wazee sio kila kitu tunawaza mabaya tu
Unaelewa hao wazungu wewe? Unajua mfano Uingereza ina makabila au hamna? Usitake tuwaige mabeberu...Na Wahaya Wanyakyusa Wakurya hawa mbona ni zaidi ya wachagga
Mwl Nyerere fufuka utupe somo la ukabila na ubaguzi upyaaaaa watu kama wamesahau vile
Wazungu wanaendelea kwa sababu hawana makabila wana UTaifa
Hii ni point ya Muhimu sana. Mimi nlikataa UDSM kujiunga na Umoja kama huo.walinishangaa. nikaenda mkoa flani nikaukuta jamaa mmoja kazini alipogundua mimi ni kabila hilo akanipeleka siku moja kwenye meeting kama surprise akanambia "huku ndo ndugu zako tunakutana" toka siku ile hakuniona tena kwenye meeting.
Mimi nalipenda Kabila langu na nalitaja popote napoulizwa.ila sibagui au sipendi ukabila.mama yangu ni kabila lingine na baba yangu. Nmeoa kabila lingine.sijawahi msaidia mtu sababu ya kabila au dini yake.mimi NI MBINADAMU Kwanza na halafu NAPENDA UBINADAMU.
Ninyi ndio mnaochochea ubaguzi umoja wa kufa na kuzikana wakati watanzania wengi huzikwa katika mikoa yaoWewe ndiyo ufukuzwe! Wachagga acheni ubaguzi ndiyo dawa!
Mawazo mfu nyie ndio maana huko kwenu mpo maskini hadi Léo,umoja ni nguvu wachaga wana umoja kama siafu ndio maana watazidi kuwa na maendeleo hadi kiama,cheki Kijijini singa Kibosho kulivyo utadhani AmsterdamView attachment 1283682
Mimi nakaa uzunguni hakuna mambo hayo kila mtu na budget yake!
lakini RC ameruhusu vikundi vya makabila ya mkoa wake , hilo unalichukuliaje ?