Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Nilisema mwaka huu hamna elnino serikali iache kuwaandaa watu kwa kitu ambacho hakipo, wamewaambia watu kutakuwa na elnino wahame mabondeni matokeo yake huko walipokimbilia milima inaanguka.
Sasa si utoe ufafanuzi halisi ili kuelimisha umma!Hii sio maana halisi ya landslide Kama ulivyofafanua!
wewe ndio huna akili mbuzi kasoro mkia weunauhakika huko Hanang watu walitolewa mabondeni ndo wamepandishwa mlimani?? mbona unaongea kama huna akili
Amen. Tupatiwe namba ya kutuma ila isije ikawa yale yale ya Tetemeko diaspora tulituma pesa zikaishia kujenga shule badala ya waathirika.Kuna watu humu hawajawahi kukumbwa na mafuriko, wanadhani ni wale tu waliojenga mabondeni kiholela. Majanga hayachagui masikini na tajiri, hayachagui mitaa ya wenye hela na wasio na hela, hutokea popote pale hata milimani, tambarare, baharini, nchi kavu, angani. Kwa hiyo tuwaombee sana watu wa hanang, misaada ya hali na mali inahitajika kwao. Hayo siyo majanga ya kujitakia.
Hata kesho!Hiyo aiku ni lini ?
Tupige kazi jamani....tutaombea jumapili kwa ibada zote na madhehebu yotee....uchumi wenyewe mbovuTupewe siku 1 ya mapumziko kwa Taifa zima Ili tupate kutubu kwa Mungu wa mbinguni na kumuomba atufanyie wepesi Katika maisha yetu haya
Basi Yesu akasema " hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga" Mathayo 17:21
Ahsanteni sana!
Umesahau kuweka namba ya simuTupewe siku 1 ya mapumziko kwa Taifa zima Ili tupate kutubu kwa Mungu wa mbinguni na kumuomba atufanyie wepesi Katika maisha yetu haya
Basi Yesu akasema " hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga" Mathayo 17:21
Ahsanteni sana!
Ya Lucas au Chakubanga Msemakweli?Umesahau kuweka namba ya simu
Wangetoa hata siku 3 za maombolezeTupewe siku 1 ya mapumziko kwa Taifa zima Ili tupate kutubu kwa Mungu wa mbinguni na kumuomba atufanyie wepesi Katika maisha yetu haya
Basi Yesu akasema " hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga" Mathayo 17:21
Ahsanteni sana!
Wewe Ndio unapumzika hizo sikuJumamosi na jumapili zipo zitafika tutapumzika
Wewe ni mwalimu nini unafosi mapumzikoWewe Ndio unapumzika hizo siku
Mwalimu Ndio kakufikisha hapo ulipo labda kama Wewe ni Cheti Feki 😃Wewe ni mwalimu nini unafosi mapumziko
Kuliombea taifa siyo kupumzika bwashee 😄Bwashee umeshastaafu unataka mapumziko ya nini tena?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wasafi walipiga ngoma kama mbili, hata clouds kama robo saa hivi wamepiga mfalme wa amani ila naona business as usual hakuna anayehangaikaWangetoa hata siku 3 za maomboleze
Ila mpaka sasa radio TV tunasikia masingeli tu amapiano na maumbea unaendelea
Ova