Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133
Nilisema mwaka huu hamna elnino serikali iache kuwaandaa watu kwa kitu ambacho hakipo, wamewaambia watu kutakuwa na elnino wahame mabondeni matokeo yake huko walipokimbilia milima inaanguka.

unauhakika huko Hanang watu walitolewa mabondeni ndo wamepandishwa mlimani?? mbona unaongea kama huna akili
 
Kuna watu humu hawajawahi kukumbwa na mafuriko, wanadhani ni wale tu waliojenga mabondeni kiholela. Majanga hayachagui masikini na tajiri, hayachagui mitaa ya wenye hela na wasio na hela, hutokea popote pale hata milimani, tambarare, baharini, nchi kavu, angani. Kwa hiyo tuwaombee sana watu wa hanang, misaada ya hali na mali inahitajika kwao. Hayo siyo majanga ya kujitakia.
Amen. Tupatiwe namba ya kutuma ila isije ikawa yale yale ya Tetemeko diaspora tulituma pesa zikaishia kujenga shule badala ya waathirika.
 
Tupewe siku 1 ya mapumziko kwa Taifa zima Ili tupate kutubu kwa Mungu wa mbinguni na kumuomba atufanyie wepesi Katika maisha yetu haya

Basi Yesu akasema " hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga" Mathayo 17:21

Ahsanteni sana!
 
Tupige kazi jamani....tutaombea jumapili kwa ibada zote na madhehebu yotee....uchumi wenyewe mbovu
 
Tupewe siku 1 ya mapumziko kwa Taifa zima Ili tupate kutubu kwa Mungu wa mbinguni na kumuomba atufanyie wepesi Katika maisha yetu haya

Basi Yesu akasema " hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga" Mathayo 17:21

Ahsanteni sana!
Umesahau kuweka namba ya simu
 
Tupewe siku 1 ya mapumziko kwa Taifa zima Ili tupate kutubu kwa Mungu wa mbinguni na kumuomba atufanyie wepesi Katika maisha yetu haya

Basi Yesu akasema " hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga" Mathayo 17:21

Ahsanteni sana!
Wangetoa hata siku 3 za maomboleze
Ila mpaka sasa radio TV tunasikia masingeli tu amapiano na maumbea unaendelea

Ova
 
Ee Mungu uwatie nguvu na uvumlivu wakati huu mgumu waathirika mafuriko hasa waliopoteza ndugu zao katika wilaya ya Hanang mkoa wa Mayara. RIP ndugu zetu,,,!!
 
Kundi la wanasaikolojia wazoefu (wa kujitolea)kutokea Sinza - Dar es Salaam wamewasili Mjini Katesh, Hanang' kuwapa ushauri nasaha waathirika wa mafuriko. Tuzid kuwaombea wasomi wetu hawa walioamua kujitolea bure kutoa huduma hii Kwa ndugu zetu Katesh
 
Attachments

  • images (17).jpeg
    images (17).jpeg
    36.4 KB · Views: 1
Wangetoa hata siku 3 za maomboleze
Ila mpaka sasa radio TV tunasikia masingeli tu amapiano na maumbea unaendelea

Ova
Wasafi walipiga ngoma kama mbili, hata clouds kama robo saa hivi wamepiga mfalme wa amani ila naona business as usual hakuna anayehangaika
 
Back
Top Bottom