UNSPECIFIED
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 792
- 2,609
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sanaWatu waliofariki ni zaidi ya hiyo idadi ,nipo eneo la tukio na bado watu wengi hawajulikani walipo
Land slide au mud flowSerikali ina kosa gani?! mvua imenyesha kidogo kidogo tu usiku, asubuhi tahamaki tope kubwa sana na maji mengi yameporomoka kutoka huko juu na magogo ya kutosha, serikali ingeyadaka iyazuie au?.
Nadhani ni Mudslide...!!Hiyo ni landslide! Volcano ni mlipuko wa matope ya moto na landslide ni maporomoko ya mlima uliozidiwa na maji kutokana na mvua!
Clip zinazosambaa za matukio zinaogofya..!!Watu waliofariki ni zaidi ya hiyo idadi ,nipo eneo la tukio na bado watu wengi hawajulikani walipo
Watu bado wako stranded kwenye nyumba zilizozungukwa na kujaa tope,soko halipo limepotea na bado Kuna dalili ya mvua kubwa inakuja hali sio nzuri.Clip zinazosambaa za matukio zinaogofya..!!
Mungu atuhurumie hakika..!!🙏
View attachment 2832145
View attachment 2832147
View attachment 2832158
Mara Mungu awanusuru mara Serikali ya hovyo,hueleweki
Serikali ina kosa gani?! mvua imenyesha kidogo kidogo tu usiku, asubuhi tahamaki tope kubwa sana na maji mengi yameporomoka kutoka huko juu na magogo ya kutosha, serikali ingeyadaka iyazuie au?.
Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi
Dah!... hatari kweli kweli.Mlima hanang unashusha mafuriko ya matope, katesh inafunikwa.
Inahisiwa kwamba crater ya juu ya mlima imezidiwa na maji na kupasuka.
Video hapa chini ni karibu na stendi ya katesh.
View attachment 2832069
Kwa hiyo hakuna Elnhino?Niliposema mwaka huu hakuna elnino watu walinibishia haya kiko wapi?