Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133
Rais Samia amesema Nchi yetu imepata Baraka za mvua lakini kwa bahati mbaya huko Katesh, Hanang mkoani Manyara yametokea Mafuriko ambayo yameleta madhara.

Rais Samia ametoa pole kwa Wananchi wa Katesh na Manyara kwa Ujumla kufuatia Janga hilo.

Rais Samia ameviagiza Vyombo Vya DOLA Vya kukabiliana na majanga Katika eneo husika kuhakikisha wanatoa kila aina ya Msaada unaohitajika.

Taarifa kupitia Ukurasa wa X wa mh Rais
 
Back
Top Bottom