Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133
Rais Samia amesema Nchi yetu imepata Baraka za mvua lakini kwa bahati mbaya huko Katesh, Hanang mkoani Manyara yametokea Mafuriko ambayo yameleta madhara

Rais Samia ametoa pole kwa Wananchi wa Katesh na Manyara kwa Ujumla kufuatia Janga hilo

Rais Samia ameviagiza Vyombo Vya DOLA Vya kukabiliana na majanga Katika eneo husika kuhakikisha wanatoa kila aina ya Msaada unaohitajika

Taarifa kupitia Ukurasa wa X wa mh Rais
Aina ipi ya msaada? Ameagiza Helcopta zipeleke misaada kule? au Wakuu wa wilaya na Mkoa kwenda kupiga picha pale ndio misaada?
 
Aisee sasa inamaana huko milimani ndiyo mvua imenyesha zaidi?, maana wanasema huku kwa watu mvua haikua ya kutisha hivo hadi mafuriko🤔
Ule mlima kuna kitu watu hawakijui vizuri, iko hivi mlima hanang upo kama kilimanjaro una-crater kwa juu ambamo panamaji kwa miaka mingi hivyo ilipopiga mvua kubwa ngoma ilifurika nakusababisha mpasuko chinikwachini pressure ilipoongezeka nakusababisha landslide/mudflows
 
Lakini wenyeji wanadai mvua iliyopiga ni ndogo, sasa hiyo mudflow imetokana na nini, maana yake hiyo crater haijafurikwa na maji
 
Back
Top Bottom