Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133
Wanataka kuyatwanga maji risasi ama!?
20231126_135214.jpg
 
Hafu kwanini video ni iyo iyo moja tu? Tuseme watu wa uko wanashindwa record tuone upande wa inakotokea iyo mudflow?

Poleni sana wakuu.
Watu wenye drone ndio wangeweza kitupa picha halisi, pia serikali ingekuwa serious ingepita hata na helikopta kujua tatizo halisi na kuwahamisha walio hatarini hata kwa nguvu, kuwaeleza wananchi nini hasa kinaendelea, lakini naona watu wanajipambania wenyewe, kazi ya mkuu wa wilaya ni kutoa taarifa za waliokufa!!!
 
Lakini wenyeji wanadai mvua iliyopiga ni ndogo, sasa hiyo mudflow imetokana na nini, maana yake hiyo crater haijafurikwa na maji
Sawa ngoja wataalam wa Tanzania waende kucheki kama mvua ni ndogo kiasi kwamba haiwezi sababisha madhara kwa kiasi kile ila kumbuka mlima hanang ni dormant volcano sasa huenda ilipiga chafya baada ya usingixi wa mda mrefu
 
Watu wenye drone ndio wangeweza kitupa picha halisi, pia serikali ingekuwa serious ingepita hata na helikopta kujua tatizo halisi na kuwahamisha walio hatarini hata kwa nguvu, kuwaeleza wananchi nini hasa kinaendelea, lakini naona watu wanajipambania wenyewe, kazi ya mkuu wa wilaya ni kutoa taarifa za waliokufa!!!
CCM ni takataka kabisa
 
Wakiwa juu ya Paa?
😅😅 kazi kweli kweli.

...Mkuu in all fairness huwa panapotokea majanga kama haya napo panatokea fursa za kihalifu, wizi na uporaji.

...hiyo picha nayo inaweza kutafasiriwa mara elfu moja ikiwa ni kweli "a picture sayeth a thousands words". Naelewa fika ujumbe uliotaka kutuma na sina tatizo nalo na hewhimu maoni yako ila tukubaliane kuna janga.

...niongezee. Yawezekana pia wapo hapo juu ya mabati kufanya coordination na askari wengine walio chini, kufanya utambuzi wa maeneo yalioathirika, yaani wanafanya reccon katika kusaidia uokoaji, ukumbuke mbali yakuwa na majukumu yao, pia wamepewa maelekezo na Amri Jeshi mkuu na itoshe kusema kuna taarifa kuwa Raisi anasitisha ziara yake huko Dubai kurudi nyumbani kuongoza na kukabiliana na Janga hili, kwanini tusitegemee Askari Juu ya Paa na Virungu na Silaha za moto?

Anyways....
 
Back
Top Bottom