ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Mudflow to be preciseHiyo ni landslide! Volcano ni mlipuko wa matope ya moto na landslide ni maporomoko ya mlima uliozidiwa na maji kutokana na mvua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mudflow to be preciseHiyo ni landslide! Volcano ni mlipuko wa matope ya moto na landslide ni maporomoko ya mlima uliozidiwa na maji kutokana na mvua!
Mkuu duh.....na ndiyo ina maana hao walio mabatini ni advance team. Huezi peleka Jeshi kiholela holela😅, huko juu kuna posti ya mkuu mmoja amesema, labda wanatizama nani kafungua geti la matope! Sasa kama hiyo ni mbinu mpya ya kuleta mathara kwanini wasiwepo FFU Field Force?Hv nimeona taarfa kuw askar wa jwtz wanaanz ukoz kesho mean ukoz bado hakuw seriously na kwann kesho waazianze leo inaama majesh hayana utayr
Mudflow sio landslideLand slide au mud flow
Creta ilijaa maji kweli au umejibu tu kwa hisia?Ule mlima kuna kitu watu hawakijui vizuri, iko hivi mlima hanang upo kama kilimanjaro una-crater kwa juu ambamo panamaji kwa miaka mingi hivyo ilipopiga mvua kubwa ngoma ilifurika nakusababisha mpasuko chinikwachini pressure ilipoongezeka nakusababisha landslide/mudflows
Inabidi hizi crater zijengewe paa kwa juu kuzuia maji yasiingie kwenye mlima na kusababisha hizi landslideUle mlima kuna kitu watu hawakijui vizuri, iko hivi mlima hanang upo kama kilimanjaro una-crater kwa juu ambamo panamaji kwa miaka mingi hivyo ilipopiga mvua kubwa ngoma ilifurika nakusababisha mpasuko chinikwachini pressure ilipoongezeka nakusababisha landslide/mudflows
Sawa, lakini haina maana kwamba askari wetu hawakuweza kufika eneo la ajali. Isitoshe, na kama sikosei walileta welders za chini ya maji.Mv bukoba waokoaji walitoka afrika kusini
Nadhani utakuwa unajishusha kwa kuidhalilisha nchi yako na hiyo ni kielelezo tosha kuwa unashindwa na uzalendo. Hatahivyo, sio kweli mambo ya uokozi ni sifuri. Hata wenzetu tunaofanyia mlinganisho mfano Marekani, walishindwa kabisa kufanya chochote wakati wa janga la Katrina[Failures in American Govt response]Tz kwenye mambo ya uokozi sifuri
Kabisa
Ndugu yangu Mrangi, tuwe tunaitakia mema Serikali yetu na Jeshi letu nyakati hizi.
Bajeti yake ilikuwepo kwaniInabidi hizi crater zijengewe paa kwa juu kuzuia maji yasiingie kwenye mlima na kusababisha hizi landslide
100%[✓]Wanasoma ramani
Mungu huyo Hayupo.Noma Sana . Mungu awasaidie Sana.
Mungu huyo hayupo.Mungu wa mbinguni ingilia Kati
Mungu huyo Alishindwaje kuwanusuru kabla ya mafuriko kuanza?Mungu awanusuru
Mkuu huwa Wana zuiliwa wasipigi picha, mm nilishuhudia mafuriko ya Moro mwaka huu mkurugenzi akiwa msando, alizuia waandishi wa habari wasipige picha za drone eneo la kihonda IPO tokea mafurikoWatu wenye drone ndio wangeweza kitupa picha halisi, pia serikali ingekuwa serious ingepita hata na helikopta kujua tatizo halisi na kuwahamisha walio hatarini hata kwa nguvu, kuwaeleza wananchi nini hasa kinaendelea, lakini naona watu wanajipambania wenyewe, kazi ya mkuu wa wilaya ni kutoa taarifa za waliokufa!!!
Kikowapi kinini?Niliposema mwaka huu hakuna elnino watu walinibishia haya kiko wapi?
Ulitaka afanyeje zaidi ya kutoa pole, kutoka maelekezo kwa vyombo vyote kutoa kila msaada unaohitajika!Angekuwa magufuli saa hizi wahusika wa uokoaji tumbo joto ila huyu mama maneno yake kama mashairi ya chekacheka hayana impact
Hiyo ni mud slide, iliwahi kutokea hata kule Same milimani.. Yaani pande kubwa la ardhi kwenye mlima likishaloa sana maji linameguka na kuporomoka bondeni...Zamani iliitwa volcano, siku hizi sijui hiyo inaitwa nini.
Tema mate chini aisee El nino ni balaaa kubwa bora isije tuuu
Kwani PM mwenyewe kesha fika huko Hanang?Kwenye ofisi ya waziri mkuu nadhani kuna kitengo cha maafa. Response yao ikoje!?