Hv nimeona taarfa kuw askar wa jwtz wanaanz ukoz kesho mean ukoz bado hakuw seriously na kwann kesho waazianze leo inaama majesh hayana utayr
Mkuu duh.....na ndiyo ina maana hao walio mabatini ni advance team. Huezi peleka Jeshi kiholela holela😅, huko juu kuna posti ya mkuu mmoja amesema, labda wanatizama nani kafungua geti la matope! Sasa kama hiyo ni mbinu mpya ya kuleta mathara kwanini wasiwepo FFU Field Force?

Mmesahahu kule Russia/Ukraine walipobomoa Dam na kusababisha vijiji kutoweka na madhara mengine?

Uwepo wao hapo ndio utayari wenyewe huo.
 
Creta ilijaa maji kweli au umejibu tu kwa hisia?
 
Inabidi hizi crater zijengewe paa kwa juu kuzuia maji yasiingie kwenye mlima na kusababisha hizi landslide
 
Mv bukoba waokoaji walitoka afrika kusini
Sawa, lakini haina maana kwamba askari wetu hawakuweza kufika eneo la ajali. Isitoshe, na kama sikosei walileta welders za chini ya maji.
Tz kwenye mambo ya uokozi sifuri
Kabisa
Nadhani utakuwa unajishusha kwa kuidhalilisha nchi yako na hiyo ni kielelezo tosha kuwa unashindwa na uzalendo. Hatahivyo, sio kweli mambo ya uokozi ni sifuri. Hata wenzetu tunaofanyia mlinganisho mfano Marekani, walishindwa kabisa kufanya chochote wakati wa janga la Katrina[Failures in American Govt response]
Je hiyo imewafanya Wamarekani kuwa zero au sifuri kwenye "uokozi"? Nafikiri jibu ni hapana.

hayo uliyoyasema ndio yale wataalamu wanaita ukasuku. Ukiyachukua hayo maoni ya aliyoyaleta mbandika picha na kuyafanya ndio uhalisia bila hata ya kuperuzi na kudadavua picha na facts zingine, utayumba.
Ndugu yangu Mrangi, tuwe tunaitakia mema Serikali yetu na Jeshi letu nyakati hizi.
 
Mkuu huwa Wana zuiliwa wasipigi picha, mm nilishuhudia mafuriko ya Moro mwaka huu mkurugenzi akiwa msando, alizuia waandishi wa habari wasipige picha za drone eneo la kihonda IPO tokea mafuriko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…