Ulitaka afanyeje zaidi ya kutoa pole, kutoka maelekezo kwa vyombo vyote kutoa kila msaada unaohitajika!
Haya maagizo sio utendaji.
Walitakiwa wawe wameshapeleka msaada wa haraka na huduma ya afya. Ila hapa pesa zitadunguliwa kwa kwenda mbele.
Wananchi wanahitaji chakula , maji huduma ya afya na usafiri.
 
Poleni sana sana Kwa msiba huu mkubwa, so far ni 47 confirmed dead! Ila Kuna Mambo mengine yanaleta ukakasi!

FFU wako juu ya Paa wakilinda mafuriko Kwa bunduki na bullet proof jackets na virungu

View attachment 2832497
FFU wako juu ya Paa wakilinda mafuriko Kwa bunduki na bullet proof jackets na virungu[emoji3064][emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana sana Kwa msiba huu mkubwa, so far ni 47 confirmed dead! Ila Kuna Mambo mengine yanaleta ukakasi!

FFU wako juu ya Paa wakilinda mafuriko Kwa bunduki na bullet proof jackets na virungu

View attachment 2832497
Tawala za chi karibu zote za bara la Afrika (ukiondoa Afrika ya Kusini na Misri kwa kiasi fulani) zina udhaifu mkubwa sana katika kupambana au udhibiti wa majanga, aidha majanga ya asili au majanga ya kusababishwa na binadamu wenyewe, ziko dhaifu mno. There's an extremely Poor Risks Management Plans and Strategies, unatakiwa kuwa mwangalifu sana unapokuwa ktk hizi nchi zetu za ki-Afrika, The Regimes are not serious on dealing with such kind of issues, tawala nyingi zimeelekeza nguvu zaidi ktk kununua "silaha za kiulinzi" ili kulinda "Utawala" ili usiondolewe madarakani lakini siyo kununua "Vifaa vya Uokozi" kwa ajili ya "Utayari" wa kupambana na Majanga endapo kama yatatokea. Kila raia apambane kivyake ktk kuokoa nafsi yake kwenye majanga kama haya, it's none of the regime's business. Kwanza hata Serikali zenyewe za Afrika hazina mipango na wala hazijishughulishi na suala la utoaji wa Elimu ya Kupambana au Udhibiti wa Majanga (Risks Mgt & Control Education) mbalimbali kwa Raia wake, hilo ni suala ambalo linaonekana kama haliwahusu.
 
Kwa mfano, wananchi wa Katesh wanataka wasaidiwe haya.
1. Walipwe fidia kwa hasara yote iliyotokana na mafuriko.
2. Waletewe Chakula cha kutosha, mavazi mapya na mazuri
3. Wahamishiwe kwa muda Dar mpaka watakaporekebishwa miundo mbinu, makazi yao na fidia kukamilika.


Sasa mheshimiwa yuko tayari kutekeleza hayo?
 
Mnachanganya mambo nyie, hao ni askari wa kikosi cha zimamoto na uokoaji wakiwa ndani ya yunifomu zao zinazofanana na za askari wa FFU, tumewashauri sana wabadishe yunifomu zao zisifanane na za FFU lakini bado wanaendelea kuzivaa, ona sasa wanavyochanganya watu wanadhani ni FFU
 
FFU wako juu ya Paa wakilinda mafuriko Kwa bunduki na bullet proof jackets na virungu[emoji3064][emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vibaka kule,sikiliza video za kule, zinaongea kuhusu vibaka.
Halafu Jumanne nimepita Katesh nikitokea Mwanza,nikawa nafikiria hili jina "Katesh" ni very outlandish .
 
Utayari ni kikwazo kikubwa, unaenda kuokoa Huku unajiokoa mwenyewe
 
Ondoa shaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…