Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Creta haiwezi kujaa maji ya mvua.. Hiyo mudslide hutokea hata kwenye milima isiyo na Creta...Creta ilijaa maji kweli au umejibu tu kwa hisia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Creta haiwezi kujaa maji ya mvua.. Hiyo mudslide hutokea hata kwenye milima isiyo na Creta...Creta ilijaa maji kweli au umejibu tu kwa hisia?
Vyote kwa pamoja visaidie kunusuruMara Mungu awanusuru mara Serikali ya hovyo,hueleweki
Na izo dhambi ambazo hamtaki kuziachaClip zinazosambaa za matukio zinaogofya..!!
Mungu atuhurumie hakika..!![emoji120]
View attachment 2832145
View attachment 2832147
View attachment 2832158
Haya maagizo sio utendaji.Ulitaka afanyeje zaidi ya kutoa pole, kutoka maelekezo kwa vyombo vyote kutoa kila msaada unaohitajika!
Angekuwa magufuli saa hizi wahusika wa uokoaji tumbo joto ila huyu mama maneno yake kama mashairi ya chekacheka hayana impact
Wanasubiri Media ziwape attention KwanzaHv nimeona taarfa kuw askar wa jwtz wanaanz ukoz kesho mean ukoz bado hakuw seriously na kwann kesho waazianze leo inaama majesh hayana utayr
Dogo koma Mimi sio wa level Yako, shut upulitaka wakae kwenye maji? au juu ya kalio lako ndo uwr na adabu na kazi za wanaume?
lala ulindwe wewe na mkeo
We shetani usilazimishe kumpinga muumba,wewe endelea na ushetani wako Ila usilazimishe kukubalikaMungu huyo Alishindwaje kuwanusuru kabla ya mafuriko kuanza?
Je Mungu huyo, Hakujua kwamba mafuriko yanaenda kutokea ayadhibiti?
Hizi mambo ya Mungu ni false hopes, Kujifariji uchwara.
[emoji23][emoji23]Wanamtafuta aliyefungulia mafuriko ya matope huko milimani, kwani kuna shida hapo?
Tupige kazi watanzania.
[emoji23][emoji23]Wanataka kuyatwanga maji risasi ama!?
FFU wako juu ya Paa wakilinda mafuriko Kwa bunduki na bullet proof jackets na virungu[emoji3064][emoji848][emoji2827]Poleni sana sana Kwa msiba huu mkubwa, so far ni 47 confirmed dead! Ila Kuna Mambo mengine yanaleta ukakasi!
FFU wako juu ya Paa wakilinda mafuriko Kwa bunduki na bullet proof jackets na virungu
View attachment 2832497
Yeye kama Rais alipaswa awe amerudi nchini kuratibu zoezi zima!Haya maagizo sio utendaji.
Walitakiwa wawe wameshapeleka msaada wa haraka na huduma ya afya. Ila hapa pesa zitadunguliwa kwa kwenda mbele.
Wananchi wanahitaji chakula , maji huduma ya afya na usafiri.
Tawala za chi karibu zote za bara la Afrika (ukiondoa Afrika ya Kusini na Misri kwa kiasi fulani) zina udhaifu mkubwa sana katika kupambana au udhibiti wa majanga, aidha majanga ya asili au majanga ya kusababishwa na binadamu wenyewe, ziko dhaifu mno. There's an extremely Poor Risks Management Plans and Strategies, unatakiwa kuwa mwangalifu sana unapokuwa ktk hizi nchi zetu za ki-Afrika, The Regimes are not serious on dealing with such kind of issues, tawala nyingi zimeelekeza nguvu zaidi ktk kununua "silaha za kiulinzi" ili kulinda "Utawala" ili usiondolewe madarakani lakini siyo kununua "Vifaa vya Uokozi" kwa ajili ya "Utayari" wa kupambana na Majanga endapo kama yatatokea. Kila raia apambane kivyake ktk kuokoa nafsi yake kwenye majanga kama haya, it's none of the regime's business. Kwanza hata Serikali zenyewe za Afrika hazina mipango na wala hazijishughulishi na suala la utoaji wa Elimu ya Kupambana au Udhibiti wa Majanga (Risks Mgt & Control Education) mbalimbali kwa Raia wake, hilo ni suala ambalo linaonekana kama haliwahusu.Poleni sana sana Kwa msiba huu mkubwa, so far ni 47 confirmed dead! Ila Kuna Mambo mengine yanaleta ukakasi!
FFU wako juu ya Paa wakilinda mafuriko Kwa bunduki na bullet proof jackets na virungu
View attachment 2832497
Kwa mfano, wananchi wa Katesh wanataka wasaidiwe haya.Rais Samia amesema Nchi yetu imepata Baraka za mvua lakini kwa bahati mbaya huko Katesh, Hanang mkoani Manyara yametokea Mafuriko ambayo yameleta madhara.
Rais Samia ametoa pole kwa Wananchi wa Katesh na Manyara kwa Ujumla kufuatia Janga hilo.
Rais Samia ameviagiza Vyombo Vya DOLA Vya kukabiliana na majanga Katika eneo husika kuhakikisha wanatoa kila aina ya Msaada unaohitajika.
Taarifa kupitia Ukurasa wa X wa mh Rais
Kuna vibaka kule,sikiliza video za kule, zinaongea kuhusu vibaka.FFU wako juu ya Paa wakilinda mafuriko Kwa bunduki na bullet proof jackets na virungu[emoji3064][emoji848][emoji2827]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zoezi la utayari lipo kwenye kufunga baa zilizozidisha muda tuu!!Ulitaka wakuachie hizo silaha wewe huku chini?
Utayari ni kikwazo kikubwa, unaenda kuokoa Huku unajiokoa mwenyeweMnachanganya mambo nyie, hao ni askari wa kikosi cha zimamoto na uokoaji wakiwa ndani ya yunifomu zao zinazofanana na za askari wa FFU, tumewashauri sana wabadishe yunifomu zao zisifanane na za FFU lakini bado wanaendelea kuzivaa, ona sasa wanavyochanganya watu wanadhani ni FFU
Ondoa shaka!Kwa mfano, wananchi wa Katesh wanataka wasaidiwe haya.
1. Walipwe fidia kwa hasara yote iliyotokana na mafuriko.
2. Waletewe Chakula cha kutosha, mavazi mapya na mazuri
3. Wahamishiwe kwa muda Dar mpaka watakaporekebishwa miundo mbinu, makazi yao na fidia kukamilika.
Sasa mheshimiwa yuko tayari kutekeleza hayo?