Tawala za chi karibu zote za bara la Afrika (ukiondoa Afrika ya Kusini na Misri kwa kiasi fulani) zina udhaifu mkubwa sana katika kupambana au udhibiti wa majanga, aidha majanga ya asili au majanga ya kusababushwa na binadamu wenyewe, ziko dhaifu mno. There's an extremely Poor Risks Management Plans and Strategies, unatakiwa kuwa mwangalifu sana unapokuwa ktk hizi nchi zetu za ki-Afrika, The Regimes are not serious on dealing with such kind of issues, tawala nyingi zimejielekeza zaidi ktk kununua "silaha za kiulinzi" ili kulinda "Utawala" lakini siyo kununua "Vifaa vya Uokozi" kwa ajili ya "Utayari" wa kupambana na Majanga endapo kama yatatokea. Kila raia apambane kivyake ktk kuokoa nafsi yake kwenye majanga kama haya, it's none of the regime's business. Kwanza hata Serikali zenyewe za Afrika hazina mpango na wala hazijishughulishi na suala la utoaji wa Elimu ya Kupambana na Udhibiti wa Majanga (Risks Control & Mgt Education) mbalimbali kwa Raia wake, hilo ni suala ambalo linaonekana kama haliwahusu.