Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133
Huu ndio wakati Sasa WA zile post zilizokua zinaonekana zikiwaombea Kwa Mungu wapelestina na Israel kuzionyesha, na hii ndio Hali halisi.

Ila wabongo bana, Kuna wale walitaka Hadi kuandamana kwasababu ya Palestine, ila majanga yanatokea hapa Tanzania watu hawana time kwanza wengne wakisikia Hanang wanajua mafuriko yametokea China huko.

Wabongo sisi nani alituloga?

Minaona hizo dini ndio zimeleta huu uzezeta tulionao.

Screenshot_20231204-201213.jpg
 
Unataka tusemaje?

Tuandamane?

Post zote jf ziwe kuhusu Hanang ili ujue tumeguswa, kila post tuweke #rip au tufanyaje mkuu?

Wakiweka namba za kuchangia watu watachangia mkuu, acheni kujidharau. Mnaweka udini hata pasipokuwepo udini.
 
Unataka tusemaje??
Tuandamane?
Post zote jf ziwe kuhusu Hanang ili ujue tumeguswa, kila post tuweke #rip au tufanyaje mkuu??

Wakiweka namba za kuchangia watu watachangia mkuu, acheni kujidharau. Mnaweka udini hata pasipokuwepo udini.
Jamaa katoa ushauri mzuri, wewe sijui mambo ya udini umetoa wapi, unataka uonekani wa tofauti.
Mungu awaangazie watu wa Hanang Tanzania.
 
Huu ndio wakati Sasa WA zile post zilizokua zinaonekana zikiwaombea Kwa Mungu wapelestina na Israel kuzionyesha, na hii ndio Hali halisi.

Ila wabongo bana, Kuna wale walitaka Hadi kuandamana kwasababu ya Palestine, ila majanga yanatokea hapa Tanzania watu hawana time kwanza wengne wakisikia Hanang wanajua mafuriko yametokea China huko.

Wabongo sisi nani alituloga?
Minaona hizo dini ndio zimeleta huu uzezeta tulionao

View attachment 2833235
MUNGU AWANUSURU
 
Kuna watu humu hawajawahi kukumbwa na mafuriko, wanadhani ni wale tu waliojenga mabondeni kiholela. Majanga hayachagui masikini na tajiri, hayachagui mitaa ya wenye hela na wasio na hela, hutokea popote pale hata milimani, tambarare, baharini, nchi kavu, angani. Kwa hiyo tuwaombee sana watu wa hanang, misaada ya hali na mali inahitajika kwao. Hayo siyo majanga ya kujitakia.
 
NAUNGANA NA FAMILIA ZA WAFIWA NA WAHANGA WOTE KWA UJUMLA MUNGU AWAPE NGUVU KIPINDI HIKI KIGUMU
 
Back
Top Bottom