Maoni Yangu: Kauli hii ya Rais Samia imekaa kibabe sana! Je, ni hasira?

Licha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement...
Kwahiyo tec wakiwa na mibavu na misuli ni sawa, ila mama hapana,

Wewe mwenyewe hapa umetumia mibavu na misuli ya kidini

Safari hii tec wameingia cha kike, watapigwa ndani nje, mbele nyuma chini juu
 
Ni kawaida watu wasio na nguvu ya hoja hukimbilia kwenye hoja za nguvu
 
Cha msingi mwambieni Samia arudishe fedha za Waarabu walizohongwa, asitutishe na wala hatutishiki!
 
Mama nakushauli endelea ni mikakati ya dp world achana na kelele za wezi wa bandari hata swissport walipiga kelelel hizihizi lakini inaendesha exports na imports pale JKIA efficiently and effectively ( Dong things right and doing the right things)
 
Kayataka mwenyewe kuwasikiliza hao na nina imani walimwambia usihofu wabongo watapiga kelele mwanzoni then wataacha na maisha yataendelea sasa hili dubwasha la bandari linawaka moto kila iitwapo leo hata dalili za kuzimika hazipo[emoji16]
Pole sana Bandari ndio hiyo imeenda
 
Pole sana Bandari ndio hiyo imeenda
 
Siku zote huwa comander in chief akisema hivyo tena kwa utulivu mkubwa huwa amejiridhisha na anachokisema anakimaanisha.
 
Tunatamani iwe hivyo, sema tunahofia isije ikawa siasa tu za kupooza wananchi kama ilivyo kawaida ya ccm🤣
 
Kayataka mwenyewe kuwasikiliza hao na nina imani walimwambia usihofu wabongo watapiga kelele mwanzoni then wataacha na maisha yataendelea sasa hili dubwasha la bandari linawaka moto kila iitwapo leo hata dalili za kuzimika hazipo[emoji16]
Mtachoka tu...
 
Walume ndago wanamchora tu,ataomba poa
 
She is confused, ameshindwa kutatua tatizo alilotengeneza mwenyewe, sasa anatuletea hasira za wanawake jikoni, amwage hiyo mboga kama anajiona ana ubavu huo.
 
Kama roma na makundi yake ya maana sana kachukue uraia huko sio unakitambulisho cha taifa la Tanzania, na bado kabisa unataka tutawaliwe na roma hii kubali wewe tu, hii Tanzania yetu itaendelea milele na itasimama imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…