Maoni Yangu: Kauli hii ya Rais Samia imekaa kibabe sana! Je, ni hasira?

hili ata mimi nililiona DPW watakuwa wanamnyima usingizi. ukute kuna mabilion alishapokea, kama maulidi kitenge na zembwela ataendaje kuwadai sasa maokoto na tayari wameshakula. kupanic lazima ata ingekuwa wewe.
Ni kweli mkuu.
 
Siku zote huwa comander in chief akisema hivyo tena kwa utulivu mkubwa huwa amejiridhisha na anachokisema anakimaanisha.
Magufuli alikuwa anasema mangapi mwisho wa siku Kabudi akaja kutuambia zile zilikuwa kamba.
 
Rais Samia ndiye mkuu wa majeshi yote nchini na kwakawaida jeshini huwa hakuna kumbembelezana wala lugha laini ya kufurahisha kwahiyo alichokizungumza ndivyo inatakiwa kuwa Kwa mtu ambaye ni amiri jeshi mkuu
Na TEC wafuasi wao wapo humo humo au unasemaje?
 
Siamini kama alimaanisha hivyo ila kwa kuwa hatukuwa ndani ya mind set yake kila mtu atawaza tofauti. Mi nimeelewa alikuwa anawahaikikishia viongozi wa dini Tec kuwa hatuwezi kuvuruga amani wala atakaye jaribu kuharibu kwani serikali ina ubavu zaidi yake

Hizi ni kwasababu watu wanataka kulichukulia hili swala kiudini hichi ni kitu kibaya na hatari zaidi hatupaswi kucheka na hilo
 
Sukuma gang ndio wanufaika wakuu endapo SASHA ata fall, ndio maana Leo akina bashiru, harakaharaka, kabundi, mpini, subhoofer mstahafu, ba-shit wapo kimya kama hawajui kinachoendelea lkn ukweli huko walipo wanagonga cheers tu.
 
Wamemfikisha hapo , she should fire them . Mbona simple ?! Nasema something is wrong ? Some one is controlling her . Au she is on depression
Samia ana uelewa mdogo ssna wa mambo kila kitu akifanyacho anakosea, niaka nenda rudi hajui serikali inaendeshwaje ,kilichompleka dubai na kusain mkatba yeye kama yeye ni kitu
 
Kaandikiwa tu na kusoma hata hajui alichoongea
 
Hii kurekebisha ni mpaka upande wa pili wa Ridhie na mara nyingi wawekezaji huwa wanaipenda sana Tanzania kwa ni sehem ya kuvuna kizembe pasipo kuuwekeza , njia uhakika ni kuachana na huo mkataba na apate fundisho la kundesha nchi kimhemko
 
Amna lolote huyu mam amewapa wakati mgumu sana ccm utFikiri wamemwagiwa wsha washa
 
Hayo ndio yalikuwa maneno sahihi ya Rais kwa siku hiyo anayebisha ajaribu atajua kuwa Rais alimaanisha nini. Hakuna harusi ya kifo cha wengi, matokeo ya chochote utakutana nayo wewe mwenyewe.
 
Hakujua tu kuwa Wananchi wana ubavu wa kufanya chochote kile wakikasirika.

Ajifunze yanayoendelea Sudani na Somalia.

Washauri wake wana kazi ya ziada kwa sasa.

Wamshauri vizuri kutokana na hali ya wananchi.
 
Hakujua tu kuwa Wananchi wana ubavu wa kufanya chochote kile wakikasirika.

Ajifunze yanayoendelea Sudani na Somalia.

Washauri wake wana kazi ya ziada kwa sasa.

Wamshauri vizuri kutokana na hali ya wananchi.
Wananchi hatuna shida na serikali. Wanaochochea ni hivi vikundi vya kihuni
 
Wananchi hatuna shida na serikali. Wanaochochea ni hivi vikundi vya kihuni
Sema mimi sina shida na Serikali. Nadhani itakaa sawa.
Serikali inatakiwa kuongozwa na wananchi.
Hasa hizi nchi zetu za Shit Hole.
La utauzwa mzima mzima.
 
Mm nafikiri tofauti kidogo or namshauri mama
Yeye na waziri wa fedha waimarishe uchumi hali yetu ni mbaya sn kulinganisha on exchange rate.waweke uchumi sawa hatauuzaji wa bandari hauwezi fanyika. The problem tz hatuna maarifa yakutafuta hela hatatukiwa na mali.They need to stablelize economy first
 
Nchi hii bila ubabe watu hawaendi......Hayati JPM aliliona hilo ubabe hauepukiki.
Tena namuomba Rais wetu azidishe ukali zaidi, pia viongozi wengine wakiwwmo mawaziri waongeze ukali
 
Nchi hii bila ubabe watu hawaendi......Hayati JPM aliliona hilo ubabe hauepukiki.
Tena namuomba Rais wetu azidishe ukali zaidi, pia viongozi wengine wakiwwmo mawaziri waongeze ukali
Unakuwa Mbabe lakini tumia akilii kufanya maamuzi na mambo yenye Tijaa kwa jamiii.. sio diktata alafu mambo yanaendaa ovyooo tuu
 
Nasikia ndege ya Rais imeshikiliwa Dubai! Alienda nayo akaiacha akaja na ndege ya Emirates!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…