Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

content kwa kuharibu reputation ya chuo kwa cheating?
hiyo DR mangungo au.?kichwani umejaza kamasi.
Kamasi zimeingiaje hapo..
Vijana wa siku hizi mnakosa Kabisa Uwezo wa kujenga hoja..
Umesoma nilichoandika?

Nilichozungumza ni Kama wao wakihojiwa na wakajibu hivyo kuna mtu Wa kuwashitaki?
Chuo kimeguswa wapi kwa kauli yao hiyo?
Je kuna mahali walikashfu chuo?

Wakati mwingine mjifunze kujenga hoja Sio mnaropoka tu kwa kuwa mna uwezo wa kuropoka..

Yule mwenzenu SUKUNUNU kumbe ni Kinyozi halafu anatukana Viongozi..

Unakuta hata wewe maskini Ya Mungu..Unakaa kwa shemeji yako..Na unalala Sebuleni au ni mwalimu wa Shule ya Kindergarten halFu unaniambia Nimejaza kamasi..?

Shame on you! Na ujifunze kujenga hoja bila matusi! matusi sio hoja
 
Examination office nyingi huwa zimakaa na booklets kwa miaka mitano nadhani sheria ndio inasema hivo
Aah basi hii nilikua sifahamu.
Lakini kwa vyuo vikubwa vyenye wanafunzi 10k+ sidhani kama ni possible kutunza booklets za wanafunzi wote kwa miaka yote hio + kuna mafile ya wanafunzi na staff.
 
Nilisema huku mda mwingine mdomo huponza kichwa ona sasa inawaletea shida.Kusema maneno yale public ni kuutangazia umma kuwa chuo husika hawapo makini katika kusimamia mtihani,unakipa chuo sifa mbaya.
 
Uchunguzi utafanyika na itathibitika sio kweli na wahusika wataomba radhi kulinda image ya chuo
 
Huwa nasema kila mara, Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wapumbavu...

Kwa aliyesikiliza hivyo vitoto vikihojiwa atakubaliana nami, maaana biliongea pia jinsi vinavyowachanganya wanaume n.k

Yaani ukivisikiliza vitu wanaongea, unaona kabisa kichwani kuna kama 1% tu ya intelligence l

ambayo inawasaidia labda kwenye kuvaa, kula, kuvuka barabara na vitu kama hivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…