Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

asononeke kwa ajili ya Nini,kwani mama yako huyo,yaani Malaya asononeke umemuacha au kakuacha huyo Malaya tu piga tambaa boya wewe
 
Mh! Sasa kwanini asingeanza kusema yeye jamani
Mwanaume kumwambia mwanamke tuachane huwa ni ngumu sisi tunakupiga matukio utajiongeza alafu badae tukitaka kurudi tunarudi kiulaini si umeona mwamba uyo ata namba yako hajafuta unaona status zake akikutaka fasta anakuvuta tu.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚siwezi kurudi, mimi huwa sirudi nyuma
 
Jy
Yamkini ww ulimchosha na tabia zako
 
Mzee wangu wee umepona kichaa kabisa.

Sisi bado hatujapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ