Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

kwa ghafla sawa utadata
ila kama ni kwa process kawaida
leo ukapata mia kesho 300M
keshokutwa 4000
mara siku ingine 60M
yaani ukizichezea chezea kila siku mkononi wala hushtuki ikija iyo
ila ile kama ya kina idris au mwisho mwanini sijui lazima unadata

wafanyabiashara wengi wanazo ila hazikao mabank
sasa unatunza ela unafanyaje biashara???
naamin wapo humu
mi nina rafki yangu mmoja aliamua tu kununua jengo kariakoo afu rika langu
kuanzia hiyo siku nilisema hakuna kinachoshindikana chini ya jua
mtu yoyote anaweza miliki kitu chochote duniani na kwa wakati wowote ule
 
Mimi niseme ukweli mzee wangu mimi nilishika bn 12 nikiwa na miaka 24 tu.

Nilinunua jiwe nne kubwa za ruby kule mahenge morogoro na kila jiwe lilikuwa na 4gm, rangi damu ya mzee na halina sukari ndani.
Nikamwandikia ujumbe mjerumani mmoja mnunuzi wa gemstone, mr Hout na ndani ya masaa 24 keshafika Dar es Salaam akanipa dolla zangu sawa na 500m kila jiwe.
Hiyo ilikuwa 1982 mzee.
 
Au Ulikua Mzee wa Totozi Mkuu😂,ila Sikushangai Huenda Mashine za ATM zina Uchawi maana huwa kuna kafeeling kakipekee sana kutoa Hela ATM na Akili kuja kukaa sawa mpaka ziishemo
 
Mkuu Usitupe Presha Vijana Million Elfu 1000 sio mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…