Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

Mia 9 itapendeza,ngoja waje naona na wengine wameshaanza huko juu,ni mwendo wa dk shika theory๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Watu wamekaa kimichongo humu, na kuna girl watalombwa sana kupitia huu uzi ๐Ÿ”ฅ

JF Sio ya kinyonge, ww jipandishe kupitia comment za kimkakati tuu, utalomba sana humu mana ndio target ya wanaume weng
 
Watu wamekaa kimichongo humu, na kuna girl watalombwa sana kupitia huu uzi ๐Ÿ”ฅ

JF Sio ya kinyonge, ww jipandishe kupitia comment za kimkakati tuu, utalomba sana humu mana ndio target ya wanaume wengi
Kwanini sikuiona hii๐Ÿคฃ

Hebu nipe testimony kidogo kwanza
 
Mimi nilizishika... Nikazitunza ile nataka... Tu kuzitumia.
Aise nikashituka kutoka kitandani
 
At least ulimwaga oil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ