Naona tu ma bilioni ya pesa zetu mifukoni mwa hao watu
 
Huu mradi na ule walioutembelea awali ni muhimu mno Kwa Taifa letu.

Ila kwa sasa tunahitaji pia kupanua bandari ya Mtwara na Tanga.
 
Hawa wazee naona wanaitafuta Corona kwa speed ya radi.
 
..hivi wakandarasi wanapata muda wa kufanya kazi zao?

..naona kama ziara huko site zimekuwa nyingi kupita kiasi.

..na kwanini mradi hujakamilika kwa kipande cha Dar to Moro?

..tazara ambayo inatoka Dar mpaka Kapirimposhi Zambia ilijengwa kwa miaka 5.

..najaribu kulinganisha na kipande cha sgr Dar to Moro.
 
Dogo utaendelea kuumia hadi utoke utumwani
 
'…nikiondoka hii miradi itafanywa na nani?…sio kwamba najisifia, mbona haikufanyika huko kipindi cha nyuma?…nataka nikifa nikawe kiongozi wa Malaika…'~ Hayati Mzalendo namba moja
Kikwete anapenda kujisifia sana sasa anasema yeye alifanya kila kitu ikabaki utekelezaji, treni nayo alisema hivyo[emoji23]
 
Ramli isiyo na mashiko
 
Hili bwawa ni uchafu na wizi wa Shetani Magufuli Halitakua na tija yoyote tayari hapo lilipo ni white elephant.
CCM tunatumia nguvu nyiiingi kulibrand ila kiukweli ni uchafu wa kimataifa. Hapo ni kupaka rangi jeneza tuuu.
 
Hili bwawa ni uchafu na wizi wa Shetani Magufuli Halitakua na tija yoyote tayari hapo lilipo ni white elephant.
CCM tunatumia nguvu nyiiingi kulibrand ila kiukweli ni uchafu wa kimataifa. Hapo ni kupaka rangi jeneza tuuu.
Waambie huko warundi wenzako hivi, msituingilie wapumbavu nyinyi, Bwawa hilo linawahusu nini nyinyi wahutu??

Kwetu huku Tanzania ndiyo habari ya mjini, Tunatarajia kuwa na umeme mwingi, viwanda vitaongezeka na bidhaa zitakuwa na bei chipper, ajira kibao zitazaliwa, kilimo pembezoni mwa bwawa hilo, mazao yake yatatosha kulisha zaidi ya watu 10m

Na ukome kutuzoea, pumbavu zenyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…