UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Wakitoka huko wanaenda kuzuru ukuta anaoshikishwa lisu kule ubelejiWANGEENDA KUZURU NA KABURI CHATO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakitoka huko wanaenda kuzuru ukuta anaoshikishwa lisu kule ubelejiWANGEENDA KUZURU NA KABURI CHATO
Kweli kabisa Mzee Mwinyi binafsi nampenda kwa dhati kutoka moyoni ningependa kuwa namuona kwenye hafla za birthday siyo kumpandisha juu ya hivyo visima aanze kulala anaota bure. Mwacheni huyo mzee mjanja mjanja afanye hayo yanamfaa maana atatwambia ye ndo alianzisha huo ujenzi kimaandishi wakati hali alotuacha nayo tunaikumbuka. Sana sana mwendo wa power tiller ndo tulizokuwa tunaziona mtaani.Mzee wetu Mwinyi katumikia taifa kwa uaminifu na uadilifu ningetamani kuona anapata muda mwingi wa kupumzishwa kuliko kufanya mizunguko mingi ambayo si ya lazima kwake. Hivyohivyo kwa mjane wa JKN pia angeachwa kwa sasa apumzike.
Ushauri tu
Akina Mdude ndo watetezi we unategemea lipi jipyaVikojozi hawakosekani....
kama huyu
JK ni bonge la strategist.Kikwete amwaga sifa.
Youtube link (wa free basic haiwahusu)....
Hata hauelewekiMradi unazikwa rasmi baada ya kumzika Engineer mkuu wa mradi huo!!!Sasa kampuni ya IPTL mpya inazaliwa upya!!jamaa wanakula maisha utadhani wataishi milele aiseh!!!Mnikumbuke na mimi sasa nile angalau !!!
MaaamaeeeBwaga ❤️.
Jiuluze wewe unayemwabudu yule Mwendazake ambaya anaoza kwenye udongo sasaMkuu, Kichwani mwako zimo lakini?? au......0
Hizi sifa ni za Mungu aliye juu ndugu yangu sio mwanadamuWatanzania wasiposimlia mambo makubwa aliyoyafanya JPM kwenye nchi yake na kwa Watanzania, Aridhi itasema, mito itasema, anga litasimulia, maziwa yataisimulia kwamba huyu mtu hakuwa mtu wa mchezomchezo.
R.I.P JPM
Mkuu,JPM anakubalika na wengi,usihadaike na watu wanaopinga humu JF ambapo ukiwahesabu hawafiki hata watu 20Kikwete anamkubali sana Magufuli
Kama heza zilikua zake sawa. But kama ni hizi kodi zetu raia...huu utopolo tafuta mahali pa kuuweka.Watanzania wasiposimlia mambo makubwa aliyoyafanya JPM kwenye nchi yake na kwa Watanzania, Aridhi itasema, mito itasema, anga litasimulia, maziwa yataisimulia kwamba huyu mtu hakuwa mtu wa mchezomchezo.
R.I.P JPM
Kwani kodi zimeanza kutolewa kipindi cha Magufuli pekee?Kama heza zilikua zake sawa. But kama ni hizi kodi zetu raia...huu utopolo tafuta mahali pa kuuweka.