Hasira za kutumbuliwa hazijaisha tu!!!Hili bwawa ni uchafu na wizi wa Shetani Magufuli Halitakua na tija yoyote tayari hapo lilipo ni white elephant.
CCM tunatumia nguvu nyiiingi kulibrand ila kiukweli ni uchafu wa kimataifa. Hapo ni kupaka rangi jeneza tuuu.