hilo ni kweli, rushwa inadididmiza mambo mengi, alafu wizara ya tehama nayo ni mzigo sana, taasisi nyingi ukipitia documents zake zinataka maulizo/malalamiko yote yanayowasilishwa yapandishwe kwenye mifumo, ila jambo hili halifanywi wala kuhimizwa.Hata zipitiwe mara Milioni kama Polisi hawa hawa ndio wanahusika na enforcement ya sheria hizo ni silly hole.
Hapo ni either kufumua jeshi hilo au katiba mpya ambayo ndo mama wa sheria zote.
usikute kila aliporipotiwa ametoa vitisho alikuwa anamwachia OCD buku ten ambazo total ni kama 60k au 100K na ndo zimekuja acha majanga. If police would take action accordingly tusingefikia Jane leo angekuwa ametoka Kanisani na watoto wake.
Polisi ni chanzo cha majanga mengi mno ni vioe tu mengi ni indirect.
Kama ni mali yake, muda wowote ule ana haki ya kubadilisha jina. Siyo lazima aambiwe ni lini abadilishe.....Mtaumia sana miaka hii......Ila huyo anayevizia mali za wanawake, nafuu na yeye angejiua tu, maana maisha yake yote atakuwa gerezani....Si rahisi atoboe.Sema wanawake bwana mda mwingine wanatuvuruga sana, yaani wamehamia kwenye nyumba mwaka jana tu disemba hata mwaka hawajamaliza ila tayari mwanamke anataka hati ya nyumba na kiwanja majina yabadilishwe yaandikwe yake. So sad
Wakawaida sana hafu demu pisiKwani mshkaji yuko vipi 😅 balibabambonahi
Mara nyingi ni zawadi ya baba siku ya send off. Sasa bwana harusi ali-assume naye anahusika!Kiwanja cha ukweni? Sikuelewa, Utapeli kumbe ulianzia hapa. Anyway, jamaa alipaswa kukubali kuwa kazidiwa akili afikirie watoto wake.
Hata mimi najiuliza, kama alinunua yeye si majina yake yangekuwepo toka awali? Sasa hili la kutaka kubadilisha kuondoa jina la mwenzake inakuwaje?Kama yeye ndo alinunua kwanini hakuweka majina yake toka mwanzo?
Sasa kwanini kama alinunua yeye kwanini hakuweka tu majina yake?Mwanamke akiwa amenunua uwanja na amejenga nyumba kwa pesa yake, ni ya kwake. Huyo jamaa hata kama alichangia lakini nyumba ni ya Mwanamke. Huyo Mangi wa wapi, alitakiwa astuke mapema sana awe na ya kwake pembeni. Haya sasa anaishia jela na nyumba watakaa watu wengine.
Unalazmisha aiache atafute nyingine unajua mateso aliyopitia kwenye ujenzi wa hiyo nyumba? Na je una uhakika sababu ni nyumba peke? Hupajui wanawake tulia basiHakuna justification yoyote ya kufanya alichofanya huyo jamaa, ametia aibu wanaume wote wa kichagga.
Narudia hakuna justification ya kwenye alichofanya. Kama shida ilikua ni nyumba basi angeiacha akatafuta nyingine. Full stop
Tulioa wamachame tushazoea hii hali,😄Sema wanawake bwana mda mwingine wanatuvuruga sana, yaani wamehamia kwenye nyumba mwaka jana tu disemba hata mwaka hawajamaliza ila tayari mwanamke anataka hati ya nyumba na kiwanja majina yabadilishwe yaandikwe yake. So sad
Pole mkuuTulioa wamachame tushazoea hii hali,😄
Wewe unadhani mwanamke anaweza kukurupuka tu kudai jina leke linandikwe kwenye hati ? Hilo ni jambo lisilowesekana asilani ,, mwanaume jipange jenga kisha oa uone kama mwanmke atataka jina lake liwekwe kwenye hati ya nyumba uliyojenga wewe ,, labda ingekuwa mwanamke jambazi amuue jamaa ili abaki na mali. Lakini kwa huyo dada mpaka kufikiria kutafuta mwana sheria na kutaka jina lake liwekwe kwenye hati 70% huenda hiyo ni mali yake kweli na jamaa akaona hataki kupoteza.
Yani nyumba nimejenga mwenyewe ila siku nikizingua kidogo tu,utasikia kama umetuchoka uniache na wanangu uwende unakokujua mwenyewe kwa hao mal*ya zako😄Pole mkuu
Hao wachaga washauriwe kuoa makabila mengine itasaidia kupunguza mentality ya MALI. Visa vingi vya kuuana sababu ya mali ni baina ya wao kwa wao kila mmoja jeuri.Ndugu zetu wachaga mmeshindikana
Hao wachaga washauriwe kuoa makabila mengine itasaidia kupunguza mentality ya MALI. Visa vingi vya kuuana sababu ya mali ni baina ya wao kwa wao kila mmoja jeuri.Ndugu zetu wachaga mmeshindikana
Wasitufanye mazuzu, wanawake wengi hupenda kuwa mama mwenye nyumba!! Hakuna mwanaume atafikia hatua ya kuua kama jasho lake halijatumika la kutosha, mjenge wote then uje uvimbe kubadilisha majina ya umiliki. Mbona wakijenga wanaume ilihali mpo kwenye ndoa ni mali ya familia? Waseme kama waliijenga wakiwa wameshaachana yaani wameshavunja ndoa kiserikali.
Kiwanja kilikuwa cha akina Jane (chake)na hakikuwa na hati.Hati ingekuwepo tangu mwanzo kusingekuwa na mayele..Nyumba ilipojengwa,mume akaandika jina lake kuleee halmashauri ambapo mke hakuwepo.Alipojua hilo ndipo kazeze ikaanza.
NB;Rule number one:Usijenge ukweni/kwa mke.
Rule number two:Mchumba hasomeshwi.