LaxExplanation.
The U.S. dollar (USD) is the dominant currency for international transactions, forcing the world to rely on it even when the trade doesn't involve the USA. An example of Tanzania and Kenya trades, we mostly transact the same value of goods/services so why not use our own currencies?
Simply, Every time we transact in USD, the U.S. benefits. As global demand for dollars grows, the U.S. can print more money, increasing its wealth and influence while the world bear the costs of exchange rates and dependency. Meanwhile, the world economies remain tied to a system designed to favor the U.S.
So once the world decided to use bilateral currencies then the USD and USA lost the influence and benefits of printing more dollars. The more we depend on our own currencies, the less power the U.S. dollar and the U.S. itself has over us.
China haikuwahi kuanguka rasmi katika utawala wa kikoloni Qing dynasty ilikuwepo wakati wazungu na wajapan wanavamia na kujitwalia baadhi ya maeneo na Qing dynasty iliangushwa na wachina wenyewe kwenye mapinduzi yao ikaingia jamhuri ya China hii iliyopo Taiwan leo na hawa wakomunisti wa sasa wakina Xi Jinping wakawaondosha hao jamhuri ya China na wanatawala mpaka leo katika kipindi hicho chote China haikuwa kuanguka rasmi chini ya ukoloni wa taifa lolote bali wavamizi wa kizungu na wajapan unaweza kuita wakoloni uchwara pia walijitwalia baadhi ya maeneo Macau walichukua wareno, Hong-Kong Waingereza, Taiwan wajapan, wafaransa na wajerumani baadhi ya maeneo ya Shanghai,Qingdao,Tianjinbut colonized ila not fully.
LaxMarekani akichapisha pesa, anaweza kuitumia popote pale duniani, haitaji kuibadilisha. Nchi kama Tanzania, ikisema ijichapishie tu minoti hovyo hovyo kama Marekani anavyofanya, inabidi atafute dollar za kubadilisha kabla hajaagiza kitu China, sasa utakuta trekta moja aunaagiza kwa bilioni 2 sababu shilingi itashuka thamani wakati wa exchange.
Hii inampa USA mikopo isiyo na kikomo, anakopa na kufanya uzalishaji, hivyoGDP inakuwa. Kiufupi Debt celing anajiwekea mwenyewe, anachapishankadri atakavyo.., siku ya siku tukimdai anaweza hata akaamua kujifutia madeni sababu ni nuclear superpower, na hatuna la kumfanya
Tanzania tunatumia bidhaa gani toka Marekani? Dollar ya kazi gani?
Kila mahali watu wana gombania dollar ya kimarekani , lakini cha kushangaza hanunui toothpick, simu, gari wala hata kahawa kutoka marekani. Vitu kama hajanunua China, basi atanunua Japan, la sivyo atanunua vya humu Tanzania. Sasa hii shobo ya kutaka dollar ni ya nini? Kwanini msitake Chinese...www.jamiiforums.com
Wakati ukisema haya, kumbuka pia Dunia ni dude moja hivi la hatari sanaIla elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
LaxHow does the US econony benefit from the US dollar being the major currency of international trade?
Meta AI.
The US economy benefits from the US dollar's status as a major currency of international trade in several ways:
Benefits:
1. Seigniorage: The US earns seigniorage, which is the difference between the face value of currency and its production costs. As a widely used currency, the US can issue more dollars to meet global demand.
2. Increased demand for US assets: The dollar's status as a reserve currency increases demand for US assets, such as Treasury bonds, which helps to finance US government spending and keeps interest rates lower.
3. Lower transaction costs: The widespread use of the dollar reduces transaction costs for US businesses and individuals, making international trade and investment easier and more efficient.
4. Global influence: The dollar's dominance gives the US significant influence over global economic affairs, allowing it to shape international economic policies and institutions.
5. Financing trade deficits: The US can finance its trade deficits more easily due to the dollar's reserve currency status, as foreign central banks and investors are more likely to hold US dollars.
Economic Advantages:
1. Increased economic power: The dollar's status reinforces the US's economic power and influence in global affairs.
2. Competitive advantage: US businesses may have a competitive advantage in international trade due to the dollar's widespread use.
3. Financial market development: The dollar's reserve currency status contributes to the development of deep and liquid US financial markets.
The US dollar's status as a major currency of international trade provides significant economic benefits, reinforcing the US's position as a global economic leader.
Hawawezi punguza kuzaliana kwa sasa bali wanataka kuongeza zaidiChina wakipunguza kuzaliana, Marekani itaachwa mbali kwa GDP.
Embu tupe sous ya hii kitu mkuuhizo data ukifuatilia wachumi wengi wanazitilia shaka sana, gdp ya US ni pungufu ya 30tr, na ya China ni kubwa zaidi ya 23tr........
nafikiri pia hizi data hazichukulii umuhimu services industry ya China, wakati US yeye anahusisha mpaka biashara ya ukahaba n.k
anyway, kipimo sahihi cha uchumi ni PPP na sio GDP,
Wachina wapo marekani kabla hata babu yake Trump hajazamia MarekaniKama sio sasa mbona wachina wanajazana kwake kuiba gunduzi nyinyi na wengine wanaona kuzaa huko unajua Trump kusema ilo swala kuzaliana na hawa watu acha stori za kahawa View attachment 3310989
Upo sahihi pia unaweza kusema zaidi Mao na wakomunisti wenzake waliiunganisha China kama neno sahihi mbadala wa uhuru wa China.Mkuu pitia historia vyema kujisahiisha. Ingawa China ilikua na falme zake mbalimbali fahamu Mongolia ilishawahi itawala China. Fahamu kuwa baada ya vita vya pili ya dunia baadhi ya sehemu ya China ilitwaliwa na Japani.
Fahamu Mao ze Dong ndio alileta taifa moja mwaka 1949....
China ilikua vipande vipande kwa nyakati tofauti.
KOte uliponitag nitapita mkuu
Unaweza ukawa sahihi mkuu, lakini swali fikirishi linakuja kwamba, kuna nchi na zwnyewe zilikua kwenye kundi la kutawaliwa lakini zikafanikiwa kutoboa baadae, sasa reference ya kundi hili la pili ndo hua linamotivate nchi zingine kupambana zaidiHayo mataifa mnayo yapa sifa ..yameupata utajiri kwa colonialism na slave trade
Hapa umemalizaPia ufahamu kuwa viwanda vingi vilivyopo China vinavyotoa quality products vinamilikiwa na makampuni ya Marekani na nchi za Ulaya. Hivyo faida inayopatikana kwenye makampuni haya, japo yapo China, bado Marekani ina sehemu kubwa ya faida.
Asante kwa sahihisho mkuu. Nakubaliana na hoja yako kutumia kuunganisha zaidi ya kupata uhuru kutoka kwa mkoloni.Upo sahihi pia unaweza kusema zaidi Mao na wakomunisti wenzake waliiunganisha China kama neno sahihi mbadala wa uhuru wa China.
Sasa China ana watu wa ngap?GDP per capita ya China ni $13,000 wakati ya US ni $83,000.
Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.
Jibu swali acha mipasho hatuko kitchen party hapaChina anapambana sana na anakuja vyema sana kiuchumi na ndio maana rais taahira kuwahi kutokea marekani Trump anaweweseka na tarrifs zake zisizo na staha kwa China
Takwimu ya mwaka 2024 Zaidi ya wahitimu 12,000,000 wa vyuo vikuu nchini China humaliza masomo lakini uchumi wa China umekosa pumzi ya kuendelea hivyo nafasi za kazi hakuna