Ushaambiwa , jitie mwehu tu ushambulie muanze kupost picha za watoto , mnamlazimisha mtu kupigqna na Mnataka apigane mtakqvyomarekani ana mambo kweli, si aseme tu anaenda kupigana kwa cover ya israel. iran akijaribu atapigwa mbaya sana.
Nan ameamuanza mwenzie kama sio Iran ? Irana Huwa wanaongea hadharan ila Kwa vile huna akil unaona ni sw Iran kushambulia Israel ila Israel kujibu sio swMarekani wapumbavj sana. Muirani kila anapotaka kulipiza kisasi kwa uchokkzi unaofanywa na Israel, wanakuna kumzuia kwa vitisho mbuzi. Lakini Israel inapotaka kuipiga iran kwa kutaka sifa za kijinga, inamsaidia. Huu unafiki wa kisenge Iran hataki kuusikia
Mwenyew wajibu ni Hamas ambae hqtimiz wajibu wake badala yake qnachochea vita ila qpqte video nying za kutafuta huruma duniani , mnqmlqum USA Kwan USA ndo mtawalq wa Gaza , muwe mnatumia vichwa vyenu vzr kujua Nan wa kumpa lawamaHao Wamarekani wameshindwa kuzuia watoto na wamama masikini wa Palestina kuuliwa kwa maelfu leo ndio uwaone wanauwezo wa kuzuia vita? hebu tumia akili yako Vizuri
Dunia nzima ya watu wenye akili wanalijua hilo. Wanaganganya nafsi zao. Hawajibiwi kwa sababu ya siasa zao za mabavu na kutishia nchi zingine.Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
Nilifikiri utatumia akili kujibu, kumbe bogaMwenyew wajibu ni Hamas ambae hqtimiz wajibu wake badala yake qnachochea vita ila qpqte video nying za kutafuta huruma duniani , mnqmlqum USA Kwan USA ndo mtawalq wa Gaza , muwe mnatumia vichwa vyenu vzr kujua Nan wa kumpa lawama
Kumbe hawa ni machoko ndiyo maana Netanyahu anawabonda kama atakavyo
Israel aliishambulia ubalozi wa Iran syria,akafanya shambulizi ndani ya Iran kumuua haniyeh,hayo ni makosa kwa sheria za kimataifa na huwezi kaa kinyonge usijibu, marekani ilitakiwa atulize kalio nyumbani,siyo kumkingia kifua israel,amuache israel, taifa teule na hodari kijeshi apambane mwenyeweNan ameamuanza mwenzie kama sio Iran ? Irana Huwa wanaongea hadharan ila Kwa vile huna akil unaona ni sw Iran kushambulia Israel ila Israel kujibu sio sw
Sasa we mweusi wa masuala ya kimataifa nieleweshe... Kwanini ang'ang'ane na chambo wakati mzizi wa fitina anaujua na anaweza kuukata?Inaonekana wewe ni mweupe wa masuala ya kimataifa.
Atapigaje Pentagon ilhali threat ipo Israel!?
Akitulizwa Israel hakuna chambo nyingine tena ya kutumika dhidi ya Iran.
Jiandae kupanda baiskeli kama usafiri wa kasi zaidi, hormuz hapatopita meli ya mafutaWasiseme hawakuonywa waajemi hao
iran bila msaada wa urusi ni takatakaIsrael bila usaidizi wa Marekani ni takataka.
Iran humuuzia urusi makombora na droneiran bila msaada wa urusi ni takataka
mlitaka israel atumie rungu kuua mbu? Iran akishusha kitu kizito na yeye anashushiwaLevel ya Iran labda NATO, Israel mdogo sana, anapigana na kikundi kidogo kama Hamas kwa mwaka mzima, hajakishinda, ataiweza nchi kweli?
Amalozane kwanza na hivi vikundi vinavyomsumbua ndio aende Iranmlitaka israel atumie rungu kuua mbu? Iran akishusha kitu kizito na yeye anashushiwa
Hehehee aiseeee unachekesha kweli wewe.Sasa we mweusi wa masuala ya kimataifa nieleweshe... Kwanini ang'ang'ane na chambo wakati mzizi wa fitina anaujua na anaweza kuukata?