Marekani hatutakuwa na uwezo wa kumzuia Israel Tena iwapo Iran watashambulia

Marekani hatutakuwa na uwezo wa kumzuia Israel Tena iwapo Iran watashambulia

marekani ana mambo kweli, si aseme tu anaenda kupigana kwa cover ya israel. iran akijaribu atapigwa mbaya sana.
Ushaambiwa , jitie mwehu tu ushambulie muanze kupost picha za watoto , mnamlazimisha mtu kupigqna na Mnataka apigane mtakqvyo
 
Marekani wapumbavj sana. Muirani kila anapotaka kulipiza kisasi kwa uchokkzi unaofanywa na Israel, wanakuna kumzuia kwa vitisho mbuzi. Lakini Israel inapotaka kuipiga iran kwa kutaka sifa za kijinga, inamsaidia. Huu unafiki wa kisenge Iran hataki kuusikia
Nan ameamuanza mwenzie kama sio Iran ? Irana Huwa wanaongea hadharan ila Kwa vile huna akil unaona ni sw Iran kushambulia Israel ila Israel kujibu sio sw
 
Baba yupo wapi watoto wake wanalia pekeyao💀💀💀
 
Hao Wamarekani wameshindwa kuzuia watoto na wamama masikini wa Palestina kuuliwa kwa maelfu leo ndio uwaone wanauwezo wa kuzuia vita? hebu tumia akili yako Vizuri
Mwenyew wajibu ni Hamas ambae hqtimiz wajibu wake badala yake qnachochea vita ila qpqte video nying za kutafuta huruma duniani , mnqmlqum USA Kwan USA ndo mtawalq wa Gaza , muwe mnatumia vichwa vyenu vzr kujua Nan wa kumpa lawama
 
Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
Dunia nzima ya watu wenye akili wanalijua hilo. Wanaganganya nafsi zao. Hawajibiwi kwa sababu ya siasa zao za mabavu na kutishia nchi zingine.
 
Mwenyew wajibu ni Hamas ambae hqtimiz wajibu wake badala yake qnachochea vita ila qpqte video nying za kutafuta huruma duniani , mnqmlqum USA Kwan USA ndo mtawalq wa Gaza , muwe mnatumia vichwa vyenu vzr kujua Nan wa kumpa lawama
Nilifikiri utatumia akili kujibu, kumbe boga
Marekani au USA anatawaliwa na Israel kupitia AIPAC -hivyo yeye yumo. Israel bila marekani angekuwa anaheshimu UN na sheria za kimataifa. Kwa sasa amepata kiburi cha Firauni
 
Tukiwa jokaaa kuuu ivi watoto witajifia venyewe au vitaishi kwa kutulia na kufata sheria sio kama sasa. Vinauwa watoto wenzao kisa baba ndio jokaaa kuuu 🥵🥵🥵
 
Nan ameamuanza mwenzie kama sio Iran ? Irana Huwa wanaongea hadharan ila Kwa vile huna akil unaona ni sw Iran kushambulia Israel ila Israel kujibu sio sw
Israel aliishambulia ubalozi wa Iran syria,akafanya shambulizi ndani ya Iran kumuua haniyeh,hayo ni makosa kwa sheria za kimataifa na huwezi kaa kinyonge usijibu, marekani ilitakiwa atulize kalio nyumbani,siyo kumkingia kifua israel,amuache israel, taifa teule na hodari kijeshi apambane mwenyewe
 
Zayuni lazima apigwe.

Na inajulikana, Zayuni hana uwezo wa kilojistiki wa kupiga Iran bila msaada wa Marekani.
 
Inaonekana wewe ni mweupe wa masuala ya kimataifa.
Atapigaje Pentagon ilhali threat ipo Israel!?
Akitulizwa Israel hakuna chambo nyingine tena ya kutumika dhidi ya Iran.
Sasa we mweusi wa masuala ya kimataifa nieleweshe... Kwanini ang'ang'ane na chambo wakati mzizi wa fitina anaujua na anaweza kuukata?
 
Level ya Iran labda NATO, Israel mdogo sana, anapigana na kikundi kidogo kama Hamas kwa mwaka mzima, hajakishinda, ataiweza nchi kweli?
 
Level ya Iran labda NATO, Israel mdogo sana, anapigana na kikundi kidogo kama Hamas kwa mwaka mzima, hajakishinda, ataiweza nchi kweli?
mlitaka israel atumie rungu kuua mbu? Iran akishusha kitu kizito na yeye anashushiwa
 
Sasa we mweusi wa masuala ya kimataifa nieleweshe... Kwanini ang'ang'ane na chambo wakati mzizi wa fitina anaujua na anaweza kuukata?
Hehehee aiseeee unachekesha kweli wewe.
Labda nikuulize swali,hivi ukikosa chambo katika ndoano unaweza ukatumia hiyo ndoano kuvulia samaki!?
Sawa na Israel,Israel ikitulizwa ni wapi USA atapata chambo ya kuisakama Iran!?
 
Back
Top Bottom