Sasa huo ni upumbavu wa Iran maana imechagua rafiki mwenye uchumi mdogo na bado inataka kupigana na mwenye rafiki ako na pesa mingi na nguvu za kijeshi na bado inaamini inaimudu Israel. Iran iache kufuatilia mambo ya Israel hakika Israel haitokuwa na time nae. Mambo ya wapalestina hayawahusu waachane nayo maana Israel hajawahi kutaka kuivamia Iran.Sawa, lakini Russia hana uchumi mkubwa kama wa Marekani.
Kiwango cha ukubwa wa uchumi kina determine aina ya msaada ambayo nchi inaweza kutoa.
iran mbwembwe nyingi maneno kibao kumbe mchumba tuu kazidiwa akili sana na adui yake.. drone zimepitishwa za kutosha na hajui lolote kazi yake kutoa matamko tuu ya kutishia kumbwe wenzake wapo kaziniSijui.
Unaelewa maana ya alliance, hakuna mtu amesema Israel hasaidiwi na US,and FYI US wenye pesa na nguvu ni Jews unategemea niniDuh! Hizi propaganda za taifa teule la Mungu zimefanya mmekosa akili ya kuchanganua mambo, narudia tena na mm kusema hapa kuwa hakuna Israel bila Marekani, Israel anasaidiwa kila kitu, inawezekanaje ww uwe mtaalamu usitengenezee kwake uende kuundia kwa jirani kisha usaidiwe useme ni ww ulitengeza?
Ni mwarabu mwenzako wa Oman,Hata Rais Samia ni myahudi π€£.
Si kweli. Israel inao uwezo wa mid air refuering na tankers zake ni Boeing KC-707.Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Israel inazo satellites zake yenyewe. Imeanza kurusha series ya satellites tangu 1988 na kati ya hizo imerusha spy satellites kadhaa ambazo zinaichunguza Iran kuliko nchi yeyote pale Middle East.Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
F-35 zimeuzwa kwa nchi mbalimbali kama Japan, Finland, Uingereza, Ujerumani, South Korea, Australia, etc. Hata Uturuki alikuwa kwenye programu akatolewa.F-35 haziuzwi kwa nchi yoyote, so kama zimeshiriki kwenye mashanbulizi means USA is involved moja kwa moja
Sasa ni nchi gani ambayo inauza silaha exact na zilezile inazotumia.Hujaelewa naona.
Yes, wamezinunua. Ila tambua kwamba F-35s ambazo zipo kwenye jeshi la anga la Marekani si sawa na F-35s ambazo Marekani huziuza kwa mataifa mengine.
Kwahiyo unabisha Israel haikushiriki kuunda F-35?π€£.
Hizo stori zenu za Israel huwa zinachekesha sana.
Mnalinganisha uchumi wa dola trilioni 30 na uchumi wa dola bilioni 500?
Hawana lengo nayo, sio makochi yale kwamba unanunua kulingishia majirani. Israel hawajawahi andaa doctrine inayoonyesha wanaitaji carrier. Mfano waitumie wapi kama leo tu wamefanya mashambulizi 1,500km away bila kuzuiwa. Waitumie kupiga Taiwan au wapi kwa adui yao?Hiyo Israel haina hata aircraft carrier moja!
Wawe na airbase nchi nyingine ili waifanye nini?Haina hata military bases kwenye nchi zingine.
Blah blah blah.Kwahiyo unabisha Israel haikushiriki kuunda F-35?
Unajua kuwa Marekani pia iliiomba Israel iipe Iron Dome ikakataa kutoa source code US wakashindwa kuitumia. Unajua hili au unatumia GDP kwenye technology? π
Hawana lengo nayo, sio makochi yale kwamba unanunua kulingishia majirani. Israel hawajawahi andaa doctrine inayoonyesha wanaitaji carrier. Mfano waitumie wapi kama leo tu wamefanya mashambulizi 1,500km away bila kuzuiwa. Waitumie kupiga Taiwan au wapi kwa adui yao?
Wawe na airbase nchi nyingine ili waifanye nini?
Sawa kabisa kama leo mnaweza kuukubali muziki wa Marekani.Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Kwa hiyo leo jihadists mnaikubali muziki wa Marekani, hamtageuka tena...!!!Nope! Mtengenezaji ni Marekani. Acheni kuwapa sifa zote Waisrael.
Hiyo nchi bila Marekani hamna kitu.
Na nyie nchi ya mama uchumi wenu ni dola ngapi kwa mwaka.π€£.
Hizo stori zenu za Israel huwa zinachekesha sana.
Mnalinganisha uchumi wa dola trilioni 30 na uchumi wa dola bilioni 500?
Marekani ndo baba lao na bila Marekani, Israel hamna kitu.
Hiyo Israel haina hata aircraft carrier moja!
Haina hata military bases kwenye nchi zingine.
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Ila wewe unamzidi umaskini tu, hamna cha ziada.Elon Musk ni tapeli mhuni tu.
Ila wewe unamzidi umaskini tu, hamna cha ziada.Elon Musk ni tapeli mhuni tu.
π π π ..Au Iran, haiwezi kununua hizo ndege?π
Endelea kusubiri mawio magharibi.Hii vita haina tofauti na ile ya Ukraine. Iran imepigwa na nchi nyingi nyuma ya Israel. Hata wataalamu waliotumika ni wa US au West. Na hata drone za Iran zimetunguliwa kutoka Jordan na US
Israel haina uwezo wa kurusha ndege viita 200 kwa wakati mmoja. Wana sapoti kubwa.
Ngoja tuone. Nani alijua kama Ukraine itatupwa na US. Naamini ipo siku Israel itatupwa kama Ukraine tu
Blah blah blah.Wewe hakuna unachojua
Usichojua ni kuwa huko Marekani kwenye taasisi mbalimbali za tekinolojia, na tafiti za kisayansi na tekinolojia, wamejaa wayahudi.
Usichokijua ni kuwa wayahudi waliopo Marekani ni wengi kuliko hata ya wale waliopo Israel. Ndiyo maana huwezi kuotenganisha Marekani na Israel.
π₯±π§ Makubwa haya!!US ni malaya wa Israel..
Akiambiwa nipe blowjob anatoa, akiambiwa inama anainama..
Akiambiwa ikalie juu anakalia..
Ka Israel kadogo kanaipelekesha kubwa jinga US..
US imeolewa na baba mwenye nyumba ni Israel...
Plus US wamepata rais ambae ana low IQ na anapenda pesa kama changudoa pia ana mfungamano mkubwa katika biashara zake na tycoons wa kiyhudi hivyo akiombwa hata 'O' atatoa bila shida..
Huu ujinga Trump anafanya ni hatari kwa wamarekani waliopo middle east, ni hatari pia kwa wananchi wasio na hatia wanaoishi Israel..