Nimekubali nilikosea kuwasilisha nilipokuwa naandika.Ama hukuelewa vizuri ulichokisoma au ulikosea tu kuelezea.
Nje ya Marekani, Israel ndo ilikuwa nchi ya kwanza kuzinunua hizo ndege.
Manake ni kwamba, Marekani ndo ilikuwa nchi ya kwanza kuwa nazo halafu Israel ndo ikafuata.
Haina shida. Kama ulisoma kwa haraka haraka nimeona ni kwa nini ulidhani hivyo maana hata mimi ilibidi nisome mara mbili.Nimekubali nilikosea kuwasilisha nilipokuwa naandika.
Hilo sijui kwasababu nilidhani military equipment ni patented products zinahitaji authorization ya owner kabla hujafanya any changes.Hahaaa.
Iko hivi, nchi huwa zinaruhisiwa kufanya customization.
Ukikuwa hujui hilo?
F 35 zilizopo kwenye fleet ya Marekani si sawa na F 35 ambazo Marekani huziuza nje.
Israel inaweza ikawa inapewa exceptions flani flani katika hayo mambo ya customizatin.Hilo sijui kwasababu nilidhani military equipment ni patented products zinahitaji authorization ya owner kabla hujafanya any changes.
Maana zinalindwa zisiwe duplicated na mataifa mengine kirahisi.
Ndio maana huwa nahisi siyo kila nchi inauziwa hizo ndege ni kwa sababu ya kuilinda technologia yake.
Tunajifunza kila siku, yote yawezekana.Israel inaweza ikawa inapewa exceptions flani flani katika hayo mambo ya customizatin.
Lakini ku customize baadhi ya vitu huwa ni jambo la kawaida kabisa.
Hata Rafales za India zina baadhi ya specifications ambazo ziko customized kukidhi mahitaji yao.
Naamini kuna vitu hawaruhusiwi kuvigusa na vitu wanaruhusiwa kuvibadilisha.
UongoMnapenda sana conspiracy hata kama mambo ya dhahiri.
Ni kweliMarekani ndo super power pekee hapa duniani.
Sawa,Israel siyo super power. Israel ni nchi inayoitegemea Marekani..
Hakuna kitu kama hicho! Marekani imeanzishwa na Waingereza na imekuwa super power kwa muda mrefu sana.Uongo
Ni kweli
Sawa,
Ila Marekani nayo inawategemea Wayahudi ili kuendelea kuwa super power
Mama yake ni British/ Dutch na Baba yake ni South African, amezaliwa Africa Kusini huko PretoriaHata mimi leo ndo nimesikia kwamba Elon Musk ni Myahudi.
Kwa mtaji huo basi hata Ibrahim Traore naye ni Myahudi.
Hata Rais Samia naye ni Myahudi.
Kwa hiyo amekuwa Myahudi Toka lini?Mama yake ni British/ Dutch na Baba yake ni South African, amezaliwa Africa Kusini huko Pretoria
Ukinunua trekta la kukuwezesha kulima heka 100, huo uwezo wa kulima unakua bado huna kwa kuwa hilo trekta umenunua na hujatengeneza wewe?Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Ungesema tu wazayuni sio waisrselUchumi wa Marekani wamiliki wakubwa ni Israel kama kwetu hapa wamiliki wakubwa wa uchumi mkubwa ni wageni mabilionea wahindi,waarabu na wapemba
Marekani ni wayahudi
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Kuna wa kuizidi TISS na JWTZ?Jinsi Israel walivyoweza ku target srhemu nyeti na hasa viongozi muhimu inaogopesha hivi vinchi vyetu vinawezaje kujilinda au ndio tuendelee kuombea amani 😜
Elon Musk siyo Jews?Kheee Elon Musk naye ni Muisrael? 🤣🤣
Hayo yanakuhusu wewe mwenyewe ndio maana unayaongelea na utu uzima wakoBasi utakuwa gimbi wewe.
Ndio swala ambalo kobasi hataki kukiriAnayeng'ang"aniwa ndiye wa muhimu kuliko mng'ang'aniaji😂