Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

Kodi zao ziko juu , zikiletwa kwetu atakuja kaundamana
 
Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!

Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa

Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya milioni 2.5 au dola 1000 za Marekani

Tanzania inabidi tuwawezeshe Hawa akina dada wanaolea kizazi chetu cha kesho kwa kuwapa kipaumbele katika mikopo ya mitaji na pia ajira
HIvi wewe unaweza kuwa na mwanamke ambaye kabeba mimba ya mtu bila makubaliano, alikuwa ma uwezo wa kuzuia asipate mimba kwa njia zaidi ya moja. Ila kwakuwa anampenda sana huyo mwanaume kaona aachie inase tu bila kujua kama jamaa anataka mtoto au la.

Yaani mtu kama huyo hata kama jamaa akimtibua na kuondoka, akija kurudi atamkazia ila akiimbishwa kidogo anatiki. Utajua wako kumbe hadi mzigp anatoa kwa mzazi mwenzake. Mwishowe akiona kakolea anakuacha mazima.

Mwanamke hawezi kumsahau mwanaume aliyemfanya akaitwa mama kwa mara ya kwanza akambebea mimba bila kuolewa kisa mapenzi. Hata awe na hasira naye namna gani upendo upo tu. Atakayekuja mara ya pili hatopendwa kama huyo.

Hii ndiyo sababu inayofanya wengi wawakwepe hao labda ambaye alizaaa kwenye ndoa sababu ya jukumu la ndoa tu. Hakuna mtu anayetaka awekeze nguvu zake kiupendo aje kuachwa solemba au alee watoto siyo wake akijua ni wake, kumbe mke hataki watoto wachangie baba tofauti
 
Hap Single mothers wa USA nao 99% ni matapeli wakubwa na sheria za hovyo za huko ndiyo zinawabeba.

Kuna mmoja alikuwa mhudumu wa hoteli, alikuta kondomu imetumika na anajua aliyelala humo ana pesa. Akatumia mbegu zile kujitia akabeba mimba. Alipozaa kaenda kumfungulia kesi yule tajiri akidai matunzo na mahakama ikaamuru ahudumie damu yake. .. Sasa hii ki sheria au ufala
 
Matapeli wapo jinsia zote
 
Back
Top Bottom