Na US kuna Single Maza?Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!
Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa
Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya milioni 2.5 au dola 1000 za Marekani
Tanzania inabidi tuwawezeshe Hawa akina dada wanaolea kizazi chetu cha kesho kwa kuwapa kipaumbele katika mikopo ya mitaji na pia ajira
Nilijua Wanawake wa Mambele wanachelewa kumbe na wao kama huku Tabata reliSingle mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!
Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa
Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya milioni 2.5 au dola 1000 za Marekani
Tanzania inabidi tuwawezeshe Hawa akina dada wanaolea kizazi chetu cha kesho kwa kuwapa kipaumbele katika mikopo ya mitaji na pia ajira
Single mothers ipo sana sana kwa wanawake weusiNilijua Wanawake wa Mambele wanachelewa kumbe na wao kama huku Tabata reli
Haki na Sheria no universal...haiwezekani muhanga wa kutelekezewa mtoto akapigwa vita, wakati aliyefanya huo uhuni Wala hazingumziwiDaah! Sijajua umetumia vigezo gani kuifananisha Tanzania na Marekani?
WanaonewaKama nawe ni tapeli tu, hakuna mwanaume timamu anayeweza kuvutia upande huo kama hayupo kimkakati kwa lengo maalum.
Watu kama nyie mnajifanya mnawajali ili walegeze uzi muwatafune.Wanaonewa
Maisha sio ngono tuWatu kama nyie mnajifanya mnawajali ili walegeze uzi muwatafune.
Watu kama nyinyi tunawajua, mnatumia njia mwanamke ni rahisi kulika akiwa na stress ili kujifanya mnawariji muwale. Wimbi kubwa la washauri wamehamia mkumbo huo siku hizi.Maisha sio ngono tu
Sisi wote ni binadamu kwanza, kabla ya kuwa mwanaume au mwanamke.....kama jambo sio sahihi unalisema bila kujali limefanywa na jinsia yako au laWatu kama nyinyi tunawajua, mnatumia njia mwanamke ni rahisi kulika akiwa na stress ili kujifanya mnawariji muwale. Wimbi kubwa la washauri wamehamia mkumbo huo siku hizi.
Mwanaume huwa hasagii kunguni mwanaume mwenzake kisa mwanamkd, labda awe ana hila ya kumla au ni shoga.
Inapendeza sana kwao
Ila ukweli usemwe,kwa wanawake wa kibongo watafanya makusudi ili walipwe mwisho wa mwezi,hivi unazijua akili za mtu mweusi??Unajua maana ya malaya? Wangetoa hizo mimba?
Huku kwetu ukiwalipa utasababisha ndoa zivunjike wawe single maza walipwe.Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!
Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa
Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya milioni 2.5 au dola 1000 za Marekani
Tanzania inabidi tuwawezeshe Hawa akina dada wanaolea kizazi chetu cha kesho kwa kuwapa kipaumbele katika mikopo ya mitaji na pia ajira
AiseeHuku kwetu ukiwalipa utasababisha ndoa zivunjike wawe single maza walipwe.
Kwanini akubali ashike mimba ikiwa hajaolewaMuhanga kwa sababu ameachiwa mtoto alee peke yake