Unakubali vipi kubeba mimba ikiwa ujaolewa Wala kutolewa mahariUnajiridhisha kabla hujamvulia nguo.
Unakubali vipi kubeba mimba ikiwa ujaolewa Wala kutolewa mahariUnajiridhisha kabla hujamvulia nguo.
Hutakiwi kukubali.Unakubali vipi kubeba mimba ikiwa ujaolewa Wala kutolewa mahari
Ukiwa ni mwanamke unayejitambua unakubali vipi kubeba mimba Hujaolewa Wala kutolewa mahari?Mzee Mimi ni mwanaume na najua wanaume tulivyo na mbinu nyingi, mtu anatishiwa atoe k aonjwe ndio aolewe, mwisho wa siku anaachwa na hii Dunia hakuna mtu ambaye hajawahi kudanganywa,
Wanaume wanasingiziwa kwa mengi wakati Mwanamke mwenyewe anaachia mapaja yake ovyo ovyo anatoa mpaka siku zao za periodHutakiwi kukubali.
Jinsia yako mkuu ,?Ila kuna baadhi ya wanaume humu ni mashetani. Usikute ndio waliotelekeza watoto!
Uzae mara ngapi mkuu?Hata mimi nitazaa, hiyo ni mara mbili ya mshahara wa graduate aliyeajiriwa serikalini
Well, mwanamke hatakiwi kubeba mimba bila mpango ilo nakubali. Ila ikitokea akaibeba basi waoane na aliyempa mimba, ikitokea imeshindikana aheshimu mwili wake, asirudie tena kosa la kurisk kufanya ngono na mtu asiye tayari kumfanya mke hata kama ni mzazi mwenzake.Wanaume wanasingiziwa kwa mengi wakati Mwanamke mwenyewe anaachia mapaja yake ovyo ovyo anatoa mpaka siku zao za period
Siku hizi unakutana sana na hii kama jirani yangu mmoja hivi ni Binti wa Mzee wa kanisa ana watoto wawili baba tofauti na ana umri wa miaka 25.Well, mwanamke hatakiwi kubeba mimba bila mpango ilo nakubali. Ila ikitokea akaibeba basi waoane na aliyempa mimba, ikitokea imeshindikana aheshimu mwili wake, asirudie tena kosa la kurisk kufanya ngono na mtu asiye tayari kumfanya mke hata kama ni mzazi mwenzake.
Kuna wanawake wameamua kuwa walivyo, hawataki ndoa, wanataka watoto. Ila kama anataka ndoa na kachagua hiyo njia basi kachagua njia ngumu sana. Wamekuwepo hata ambao wamevunja ndoa, hawataki mwanaume. Sio wa kwanza na hawatakuwa wa mwisho. Thats how it is mkuu, tukiachana na fikra kuwa kila mwanamke anataka ndoa wala huyo mtoto wa mchungaji hashangazi.Siku hizi unakutana sana na hii kama jirani yangu mmoja hivi ni Binti wa Mzee wa kabisa ana watoto wawili baba tofauti na ana umri wa miaka 25.
Kilichotokea Sasa mzigo wa mtoto wamebeba Wazazi asilimia kubwaKuna wanawake wameamua kuwa walivyo, hawataki ndoa, wanataka watoto. Ila kama anataka ndoa na kachagua hiyo njia basi kachagua njia ngumu sana. Wamekuwepo hata ambao wamevunja ndoa, hawataki mwanaume. Sio wa kwanza na hawatakuwa wa mwisho. Thats how it is mkuu, tukiachana na fikra kuwa kila mwanamke anataka ndoa wala huyo mtoto wa mchungaji hashangazi.
Na single papas sisi ni magaidi hatujaachwa?Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!
Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa
Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya milioni 2.5 au dola 1000 za Marekani
Tanzania inabidi tuwawezeshe Hawa akina dada wanaolea kizazi chetu cha kesho kwa kuwapa kipaumbele katika mikopo ya mitaji na pia ajira
We sema tu unachotaka kusema.Jinsia yako mkuu ,?
Naomba kufahamu your sexual orientationWe sema tu unachotaka kusema.
Subiria nitakufahamishaNaomba kufahamu your sexual orientation
Hapa sasa ndo anaponengua huyo binti. Unazaa na watu hawawezi kutunza watoto wao, unazaa na watu hawawezi kukuoa halafu unawapa wazazi mzigo? Upumbavu sana.Kilichotokea Sasa mzigo wa mtoto wamebeba Wazazi asilimia kubwa
Mwanaume kwa nini alale na mwanamke ambaye sio mke wake?Ukiwa ni mwanamke unayejitambua unakubali vipi kubeba mimba Hujaolewa Wala kutolewa mahari?
Na kwa nini mwanaume amoe mimba mwanamke ambaye sio mke wake,na Hana hata mpango wa kuoa, si atafute mke aoe ndio afanye nae ngono?Unakubali vipi kubeba mimba ikiwa ujaolewa Wala kutolewa mahari
Kwani anayemiliki k ni Nani?Mwanaume kwa nini alale na mwanamke ambaye sio mke wake?