Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

Kwani anayemiliki k ni Nani?
Anayemiliki mbegu ni nani? Mimba inachangia na watu wawili sio mmoja.

Mtoto ndio muhanga mkuu sababu anakosa malezi, mwanaume kwa nini akatie wakati hayupo tayari kulea?
 
Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!

Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa

Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya milioni 2.5 au dola 1000 za Marekani

Tanzania inabidi tuwawezeshe Hawa akina dada wanaolea kizazi chetu cha kesho kwa kuwapa kipaumbele katika mikopo ya mitaji na pia ajira
Siyo kila sheria au jambo linalofanywa na marekani ni sahihi
Hatukatai kuwawezesha ila tunachokataa ni jamii kutoheshimu ndoa na hawa single mothers kushawishi jamii kama ndoa haifai na ni kitu kibaya
Marekani leo ndoa haithaminiwi na inegeuka kama biashara kwa wanawake,anakuja unamuoa anakaa siku mbili anataka muachane halafu eti anapewa na mahakama nusu ya mali zako huu ni upumbavu hata mbele za mungu
Angalia kilichomkuta emanuel eboue wa arsenal kageuka masikini kwa ajili ya kuendekeza mila za kimagharibi demu kamuacha na kapewa kila kitu alichokuwa nacho
 
Kwa hiyo wanaume wanaotelekeza watoto wafanyajwe? Maana mtoto ndio muhanga hapo
 
Kwa hiyo wanaume wanaotelekeza watoto wafanyajwe? Maana mtoto ndio muhanga hapo
Thats another special case ila duniani kote ikiwemo tanzania kuna priorities nyingi za fursa kwa wanawake na sheria nyingi kuwalinda wasikandamizwe
 
Nini hupeleka mabinti na wanawake wengi single mothers kuwa na mtoto mmoja tu?
Ni kweli. Na Wengi wa namna hii ni age 20-35.
Ukiona Single mother ana watoto 2+ jua ameachika kwa ndoa.

Kuzaa Home watoto 2+ , Tena ukute Wababa tofauti ni changamoto.
Otherwise kaamua mwenyewe.
 
Age inaweza kuwa determinant factor, wengi huanza kujiingiza kwenye mahusiano wakiwa na umri mdogo au ugeni kwenye mahusiano, matokeo yake huishia kupata mimba na kutelekezwa na wanaume waliowapa hizo mimba.
 
Ujinga ni muda wa kwenda sio muda wa kurudi.!
 
Wengi unakuta wana mtoto mmoja tu ana miaka tano, sita au saba.
Dogo akifika 10 huwa wanaongeza, huyo wa kwanza hudhani waliingizwa mkenge na baba zao, ama lah ni takwa lao kutaka mtoto wakidhani umri hauwasubiri.

Wa pili sasa anataka ampaye akiwa kwenye ndoa, asipoolewa ataongeza wa pili tu umri ukisogea zaidi.
 
Wengi niliokutana nao au ninaowafahamu wana mmoja tu
basi inawezekana migogoro ilitokea baada ya mtoto mmoja kupatikana au pengine mwenza alifariki nk

Ijapokuwa hapo kwenye migogoro inaweza kutokea pale ambapo either mwenza alikataa ujauzito kwa kigezo Cha uchumi nk au pengine alikuwa kwenye uhusiano na mtu ambaye amekwisha kuoa so wanajikuta wanatelekezwa nk

Sababu zaweza kuwa za mtindo huo
 
Back
Top Bottom