Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

Wewe na hao vibaraka mtatawanywa fuvu na hao waarabu shauri yenu.
 
Kwenye ile vita USSR na USA wote walikuwa wanamuunga mkono Saddam dhidi ya Iran.

Wakomunisti wa USSR walikuwa wanawachukia MaAyatollah waIran kwa sababu MaAyatollah walikuwa wanaupiga vita ukomunisti sana.
Hawa maayatola wa siku hizi wanatumia msahafu tofauti wa wale wa kipindi hicho au, mbona hawaupigi vita ukomunisti?
 
Mungu ameshindwa mwenyewe kuilinda Israel yake hadi ategemee binadamu wamarekani wailinde Israel kwa niaba yake, sasa huyo ni Mungu ama kibwengo? Hayo makombora si angekua anayadaka tu yeye mwenyewe, ameshindwa hadi wamarekani wakaweke hizo anti missiles kuilinda Israel?
 
Kwa sababu za kiusalama najeshi hutoa
Habari zisizo sahihi
Habari zilizopitwa na wakati
Habari zisizoendana na uhalisia
Hii habari ya jews wa malagarasi na hii chini kuwa bado hawajaamua Biden administration ni Wayahudi wa Israel
 
Iran kavu sana wao wamelipua hiyo radar yenyewe mpaka Israel kachanganyikiwa kaona hawa watu ni wa kujiandaa sana sio kuwanyatia kama Hamas tutaisha.
🤣🤣🤣🤣 Mijitu inayo wa- underrate Iran hawajaijua vizuri Iran , Iran hawanaga uoga wame vurugwa mnooo imagine Iran waliwapelekea Moto USA ktk kambi zao za kijeshi kule Iraq baada ya general wao Qassem kuuliwa na drone za USA . So kama hawa muogopi USA Hao Israel ndio Nani !?
 
Israel peleka moto kweli kweli mpk waishe tu
All the best
 
Walisema Israel ni self sufficient na haitegemei msaada wowote walidai hata 6 day war kwamba nchi moja ya Israel ilipiga mataifa 6 ya kiarabu!! So hili uliloandika watapinga
Sidhani kama kuna nchi ya namna hiyo duniani. Sijafatilia sana hiyo vita ya the 6 days war, najua vipande vipande tu, najua jinsi mke wa mkuu wa majeshi wa Misri jinsi alivyo likisha information kwa IDF na Mossaid ya wakati huo BUT again kwa umri wao wakati ule bila Shaka Kuna baadhi ya silaha walipewa na mataifa yaliowasaidia kurudi kwao. Same as Iran, ikumbukwe serikali ya Kiislam imeingia madarakani mwaka 1978/79 by anymeans isingeweza kupigana na Iraq yenye support ya mataifa makubwa pekee yake while ilikua bado inajitafuta, Iran imeanza kujipata miaka ya katikati ya 90, hasa walipoaanza kujikita kwenye nuclear, wataalamu wengi wa nuclear wa Iran walitoka kwa Soviet iliovunjika, Iran and Russia they were friends and they are till todate
Walisema Israel ni self sufficient na haitegemei msaada wowote walidai hata 6 day war kwamba nchi moja ya Israel ilipiga mataifa 6 ya kiarabu!! So hili uliloandika watapinga
 
Tuliambiwa na kuaminishwa kwamba Iron Dome ndio mfumo bora duniani kwa ulinzi wa anga, sasa mnaenda kuhangaika na THAAD, watu wanakuangalieni tu, Iran alijipigia Israel kama anavyotaka, wasijaribu tena mayahudi
 
Miafrika ni kama imelaaniwa aisee!! Yani jitu Zima pengine Lina Familia linakuja hapa kuandika Mungu ibariki Israel hali ya kuwa nchi yake ipo ktk kiza kinene cha mauaji na wasiojulikana wametamalaki.Israel wamekusaidia nini??
Ndo walokole wa nchi hii ni kinyaa kabisa mtu akishaaaoma biblia mistsri miwili anakuja na bendera ya isreali na eti mungu ibarik isreal
 
Israeli anataka usa na nato apigane kwa niana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…