zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Inawakandamiza kwa kuwapatia katiba mpya na tume huru?? Inawakandamiza kwa kuruhusu mikutano ya kubomoa ngome za CCM? Inawakandamiza kwa kuachia wafungwa wa kisiasa?kuwa sehemu ya CCM iliyowakandamiza wakati wote huu. Badala ya kuwakandamiza kwa maumivu, sasa inawakandamiza kwa kuwaondoa kwenye lengo lao kuu la kushika madaraka ya nchi.
We keep reiterating this statement but you still make conclusions based on daily events? Just give it time and you'll realize how Samia and Mbowe are transforming the political dynamics in Tanzania.Nevermind, let it be abysmal, that is of the least worry to me.
But as we have agreed between us, let time speak for itself.
Nadhani tumekwishakubaliana mahala, kati yako na mimi, kwamba lengo kuu sasa linaloihusu CHADEMA ni kupata "win-win', wapoteze baadhi ya mambo na waweze kuwa serikalini au Bungeni. Hili nilikwishalielewa toka kwako, kwa hiyo ssiyo swali ninalohofia wewe kuwa nalo.Weird analysis!! Embu tuongee ukweli hivi kwa jinsi Samia alivyoji potray kuwa fair politically, je ukitokea uchaguzi Leo Mbowe hatorudi bungeni?? Yaani kwanini kipindi Cha Samia ambapo Mbowe yupo huru kufanya chochote ndio ategemee cheo CCM??
Kipindi Cha JPM Kuna mpinzani alikua na uhakika wa kushinda Jimbo au kata? So Ile ilikua ni motisha tosha kwa wapinzani kuhamia CCM Ili kusecure political future. Na ukweli wapinzani wengi mnoo walihamia CCM sio sababu ya kununuliwa Bali kuokoa political career.
Sasa kwa kuangalia hizo scenario mbili, je kwanini Lissu au Mbowe wasihamie CCM ya 2020 ambayo Kulikua hakuna hope ya upinzani kupata uongozi ILA wahamie CCM ya 2023 ambapo upinzani una matumaini ya kubeba sio tu majimbo zaidi ya 100 Bali Dola kabisa???
That was between you and me, it didn't involve the rest of the audience in this forum.We keep reiterating this statement but you still make conclusions based on daily events? Just give it time and you'll realize how Samia and Mbowe are transforming the political dynamics in Tanzania.
Negotiation zote duniani zinalenga win-win, hivi unadhani CCM na yenyewe Haina demands? Inakubali demands za Chadema pekee??win-win
Wapi wamesema wanataka kuwa serikalini? Why unalazimisha hili suala? Wanachotaka ni katiba mpya Ili CCM na Chadema 2025 iwe Kila mtu ashinde kwa haki so win-win Wala sio vyeo vya uRC na uDC!!wapoteze baadhi ya mambo na waweze kuwa serikalini au Bungeni
Madaraka utayashika Kwa katiba ipi hiyo?the otherhand, mimi nasema juhudi zote kubwa walizofanya CHADEMA kabla, na wakati wa Magufuli ambazo zilionyesha kwamba sasa wanaelekea kwenye lengo lao kuu la kushika mamlaka, kwa ajabu kabisa linawaponyoka mikononi kwenye dakika za majeruhi
Huwezi kuniambia kwamba hakuna yasiyokuwa 'negotiated.'Negotiation zote duniani zinalenga win-win, hivi unadhani CCM na yenyewe Haina demands? Inakubali demands za Chadema pekee??
Naona unapenda sana wakati mwingine hiyo lugha ya "unalazimisha". Mimi sijakulazimisha popote.Negotiation zote duniani zinalenga win-win, hivi unadhani CCM na yenyewe Haina demands? Inakubali demands za Chadema pekee??
Wapi wamesema wanataka kuwa serikalini? Why unalazimisha hili suala? Wanachotaka ni katiba mpya Ili CCM na Chadema 2025 iwe Kila mtu ashinde kwa haki so win-win Wala sio vyeo vya uRC na uDC!!
Madaraka utayashika Kwa katiba ipi hiyo?
Hivi ndio Maalim alivyokuwa anajiambia wakati anafanya maridhiano na CCM. Kilichofuata Jecha akafanya yake. Wapinzani hawatapewa hii nchi kwa kura wala maridhiano bali kwa ushawishi na nguvu ya umma. Ninaposema ushawishi ni pale unapoita maandamo na watu wakaja hata kama jeshi nzima limetandazwa nchi nzima. Kwasasa CDM haina ushawishi kama unavyodhani hamna kiongozi pale anaweza kuweka mgomo nusu ya nchi ikatekeleza agizo lake sasa nyie kaeni hapo jidanganyeni.Maridhiano haya ni ubunifu wa CHADEMA na CCM ndio mtekelezaji.. Wengi wana wasiwasi kama huu wako, lakini CHADEMA ni chama chenye think tank kubwa sana na wasomi wenye weledi na maono ya kutosha sana
Kwa hatua hii ya kwanza tayari CHADEMA imeshatia mguu mmoja ndani ama kimjinimjini imeshaingiza kichwa ni hatua moja kubwa sana kwakuwa sasa CHADEMA itafanya siasa zake kwa uhuru bila woga wa kukamatwa. Kutekwa, kubambikiwa kesi. Kujeruhiwa na kudhulumiwa haki zake nyingi za msingi
Hatua ya pili na ya tatu zinakuja na mpaka 2025 CHADEMA itakuwa imeshamaliza kazi
Kuna vimatukio vidogo vidogo vinajengewa hoja nyepesi lakini CHADEMA haishughuliki navyo kwakuwa ilaeweza vipo kwa ajili ya kuwatoa kwenye reli na pia vinaletwa na wale wote waliochukizwa na haya maridhiano
Dah!Hivi ndio Maalim alivyokuwa anajiambia wakati anafanya maridhiano na CCM. Kilichofuata Jecha akafanya yake. Wapinzani hawatapewa hii nchi kwa kura wala maridhiano bali kwa ushawishi na nguvu ya umma. Ninaposema ushawishi ni pale unapoita maandamo na watu wakaja hata kama jeshi nzima limetandazwa nchi nzima. Kwasasa CDM haina ushawishi kama unavyodhani hamna kiongozi pale anaweza kuweka mgomo nusu ya nchi ikatekeleza agizo lake sasa nyie kaeni hapo jidanganyeni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya ndio madhara ya kuja na mada isiyo na locus standi, haina misingi ya kusimamia, umeleta hisia unazotaka zijadiliwe kama facts, ni kama vile ulilala usiku ukaota hii mada kisha ukaja nayo hapa bila kutafakari chochote kabla hujaandika.Nadhani wewe umekwishajiondoa kwenye kushiriki majadiliano kwa uelewa unachoshiriki. Imebaki tu kuingiza vimaneno tu.
Kwa hiyo ninakuweka pembeni hadi hapo utakapotuliza akili ujadili kwa utulivu wa akili na kuachana na mihemko.
Sema tu kiufupi hauna majibu, umeleta mada iliyojaa hisia, baada ya kuona nakubana umeamua kukimbia kijanja.Sijaona kipya cha kujibu, ila sasa ni kuzungushana tu.
Sihitaji kujibu chochote hapa., kwa sababu hakuna cha kujibu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya ndio madhara ya kuja na mada isiyo na locus standi, haina misingi ya kusimamia, umeleta hisia unazotaka zijadiliwe kama facts, ni kama vile ulilala usiku ukaota hii mada kisha ukaja nayo hapa bila kutafakari chochote kabla hujaandika.
Sioni chochote "ulichobana", pengine hicho kimo akilini mwako tu!Sema tu kiufupi hauna majibu, umeleta mada iliyojaa hisia, baada ya kuona nakubana umeamua kukimbia kijanja.
Huu ndio msingi wa hoja zake - Speculation.Ni misingi ipi ya CHADEMA iliyowekwa pembeni katika hayo maridhiano? Huoni kwamba ni mapema sana ku-speculate hayo? Hatujasikia mabadiliko yoyote ya msimamo wa CHADEMA katika mambo makuu ya kisiasa, kiuchumi, kijamii ikiwemo utawala bora, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, “Covid-19”, n.k.
Ni ushauri mzuri kujipa muda tujionee ukweli wa maridhiano hayo kama tunajali mustakabali wa taifa.
Kwa wanaopenda msimamo wa late JPM wa kuviangamiza vyama vya upinzani haishangazi wao kutamani CHADEMA wawe na direct and total confrontational approach itakayowezesha vyombo vya dola kuangamiza viongozi, makada, wafuasi na chama kizima - literally. Enzi za Hitler ilijulikana kama Final Solution.
Wacha kujitoa akili makusudi na speculation zako!Sioni chochote "ulichobana", pengine hicho kimo akilini mwako tu!
Mbowe amekamatwa chini ya utawala upi ?Nani Hana uhakika? Kwani hauoni tofauti kati ya siasa za JPM na Sasa? Umesikia Leo kwamba hakuna mpinzani atakamatwa maana hayo mambo zamani hayakuwepo. Ilikua mkutano wa Chadema lazima uzuiwe na Polisi.
Unafahamu bado waamuzi wa uchaguzi na matokeo ya uchaguzi Tanzania ni CCM kwa msaada wa vyombo vya dola.Kipindi Cha JPM Kuna mpinzani alikua na uhakika wa kushinda Jimbo au kata? So Ile ilikua ni motisha tosha kwa wapinzani kuhamia CCM Ili kusecure political future. Na ukweli wapinzani wengi mnoo walihamia CCM sio sababu ya kununuliwa Bali kuokoa political career.
Sijasema mbowe na Lissu wana hamia CCM 2023.Sasa kwa kuangalia hizo scenario mbili, je kwanini Lissu au Mbowe wasihamie CCM ya 2020 ambayo Kulikua hakuna hope ya upinzani kupata uongozi ILA wahamie CCM ya 2023 ambapo upinzani una matumaini ya kubeba sio tu majimbo zaidi ya 100 Bali Dola kabisa???
Uzuri au ubaya wa CCM bwana wanakupa Nyerere baadae wana kupa Mwinyi wanakupa tena Mkappa baadae wanakupa Jakaya wanakupa tena Magufuli baadae wanakupa Samia mwendo ni huo huo usiposoma nyendo zao vizuri lazima uumie.Nani Hana uhakika? Kwani hauoni tofauti kati ya siasa za JPM na Sasa? Umesikia Leo kwamba hakuna mpinzani atakamatwa maana hayo mambo zamani hayakuwepo. Ilikua mkutano wa Chadema lazima uzuiwe na Polisi.
Kuhusu lini? Rais keshasema ataunda tume hivi karibuni Sasa si usubiri ikiundwa ndio uone kama katiba haitapatikana.
Ni either mjiunge na maridhiano au mtakufa kwa chuki tu maana there's no way tutarudi kwenye siasa za JPM. Nchi imeshakombolewa badilisheni mindset.
Mapambano ya wakomunisti hayapaswi kufananishwa na hawa Chadema ni mbingu na ardhi.Wakati wa vita kuu ya pili ya dunia vinaanza iliwakuta wachina wakiwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.. chama cha Kuomintang (KMT) kilikuwa kikipigana na kile cha kikomunisti (CCP), ikabidi wasitishe vita yao na kuungana kumpiga mjapani aliyekuwa kawavamia. Walipigana na mjapani kuanzia 1937 hadi 1945. Baada ya vita ya pili kwisha wachina wakarudi kwenye vita yao ya wenyewe kwa wenyewe hadi 1949 ambapo CCP walishinda.