Mary Chatanda awashauri wanawake kuwapa ngono waume zao ili wamkubali Rais Samia

Mnaotetea huu ujinga angalieni visogo vyenu.
 
We jamaa 'udini' utakuathiri kisaikolojia. Badilika. Acha kukumbatia sana udini.

-Kaveli-
Yaani hapo ni kipi cha "udini" nilichokiongea?


Hivi nyie mapagani mbona mnaiogopa sana dini? Imewakosa nini? Dini inawatakia mema, msiiogope.

Kumbuka, serikali ndiyo (secular) haina dini inayoifata, yaani kwa maana nyingine, itahesshimu dini ya kila mtu, siyo kuwa itakataza watu wasiwe na dini zao.

Hata wanaoindesha serikali wana dini zao. Hata ukiwa pagani, hiyo ndiyo dini yako.

Tatizo nini? Ki[i kibaya kilichokuudhi wewe hapo nilichokisema?
 
Ndiyo sasa namuelewa Mrisho Gambo aliposema degree ya chupi. Huko CCM ngono imetamalaki.
Wengi wao hao ukijuwa jinsi walivyopanda hadi kufikia nafasi za uongozi walizonazo, utaelewa hayo maneno yao ya ngono hayawatoki kwa bahati mbaya.
 

Kwanini unahusisha ujinga na jina lake (Mary Chatanda)?

Dini yangu umeijuaje kwamba mimi ni mpagani?

-Kaveli-
 
Kuongozwa na mtu kama huyo tutegemee nini zaidi?

Kwa kauli zake anaonesha hana maadili, kabisa tena.

Pambaf.
Naona akili zimekurudia. Ni dhahiri Samia's Administration imekukatisha tamaa!
 
Nadhani uliposema jina lake linaakisi matendo yake, nadhani mchangiaji, ame-refer kwa jina Mary, ingawa mimi nilielewa una-refer kwenye jina "chatanda".

Lakini huko CCM, watu ambao inaonekana vichwa vyao vinafikiria tu ngono, ni wengi. Na kwao, kikubwa wanachokiweza ni ngono, kwa sababu haihitaji akili, ndiyo maana hata mbwa na nguruwe wanafanya ngono.

Yule mwingine aliyesema kuwa afadhali Waarabu wa DP waje ili tuchanganye damu, ulimsikia? Yaani wenye akili wanafikiria manufaa ya kiuchumi ambayo nchi inaweza kuyapata, yeye cha kwanza anafikiria ngono.

Mbaguzi Botha wa Afrika Kusini aliwahi kusema kuwa, "a black person is good for nothing except sex and singing".
 
Mary jamani si kifupi cha Mariam tu.

Wazungu lazima wabadilishe majina yaonekane ya kikwao.
 
Mifumo yetu kiutamaduni, kiuchumi na kisiasa hufanya hali owe au ionekane hivyo.
Mwanamke kuwa mwanasiasa kwa mazingira yetu lazima awe fyatu kwa namna fulani.
 
Muuza k mbovu sijawahi ona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…